![]() |
||||
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza? Je una mpango wa kufungua Internet Cafe au kufungua biashara ya kompyuta na unahitaji kompyuta zenye ubora mkubwa kwa bei nafuu?
TRIPLE B Computers tuna uwezo wa kukupatia idadi yoyote ya kompyuta zilizotumika lakini zikiwa kwenye ubora mkubwa na kwa bei nafuu. Tunao uwezo wa kupokea oda kubwa hata ya kuload container zima la kompyuta. Miongoni mwa kompyuta tulizo nazo kwa sasa ni kompyuta za Hp, Dell, Compaq na Packard Bell. Tunapokea oda ya kompyuta ya idadi yoyote ile. Ubora wa Kompyuta tulizo nazo
Pia tunaweza kukuandalia kompyuta kwenye ubora unaotaka wewe.
Kompyuta zetu zote zimejaribiwa kwa viwango vya Uingereza na zipo katika hali nzuri sana. Bei zetu hazina mpinzani
Tunapokea pia oda za jumla jumla za Laptop zilizotumika zilizo kwenye hali nzuri sana na kwa bei poa Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba hizi: Namba za simu Uingereza: 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583 Pia unaweza kututumia Email: triplebcomputers@gmail.com
|