Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
 
 
News in Photos
Mwanamke Mwenye Kiuno Chembamba Kama Nyigu
  

  
Kutokana na jinsi kiuno chake kilivyo chembamba sana watu wengi ambao huona picha zake hudhania labda ni picha za kutengenezwa kwa kutumia photoshop lakini ukweli ni kwamba mwanamke huyu yupo kweli duniani na ndiye anayeshikilia rekodi ya dunia ya binadamu mwenye kiuno chembamba kuliko wote duniani. Pichani Cathie Jung mkazi wa Connecticut Marekani ndiye anayeshikilia rekodi ya kuwa na kiuno chembamba sana kuliko watu wote duniani akiwa na kiuno chenye ukubwa wa inchi 15 (sentimeta 38) tu.
Gonga Picha ndogo kwaajili ya Picha Kubwa








More news in photos
Urefu Wasababisha Aache Shule ya Msingi
Thursday, September 02, 2010 02:59:48

Ajirusha Uchi Toka Ghorofa ya 11
Wednesday, August 11, 2010 02:50:55

Bomba la Mafuta Lapsuka Dar, Watu Wagombania Mafuta
Sunday, July 25, 2010 18:52:13

Mrembo wa Temeke Apatikana
Saturday, July 10, 2010 19:19:29

Chatu Anapommeza Mamba..
Sunday, July 04, 2010 15:24:32

Umewahi kuona haya
Saturday, July 03, 2010 10:56:10

Ili Asifariki Analazimika Kula Kila Baada ya Dakika 15
Wednesday, June 30, 2010 02:38:08

Tabu ya usafiri Dar es salaam
Friday, June 04, 2010 09:47:39

PICHA za Mwanaume Aliyegongwa na Treni Dar Akiwa Amelala juu ya reli
Wednesday, June 02, 2010 02:42:34

Kimbunga Chalimeza Jengo la Ghorofa Tatu
Tuesday, June 01, 2010 22:56:44

50 Cent Choka Mbaya, Ukimuona Huwezi Kumtambua
Friday, May 28, 2010 03:17:02

Mtoto wa Miaka Miwili Anayevuta Sigara 40 Kwa Siku
Thursday, May 27, 2010 04:18:08

Simba FC walivyokabidhiwa Kombe
Wednesday, April 21, 2010 10:50:42

Hivi ndiyo wanafunzi wa Bongo wanavyosafiri
Tuesday, April 13, 2010 12:40:06

Kuku Mwenye Hirizi Atinga Hospitali ya Muhimbili
Tuesday, April 06, 2010 06:52:51

Ukumbusho wa Kusulubiwa kwa Yesu Filipino
Saturday, April 03, 2010 23:21:19

Waziri Nchimbi Atembelea Reading
Friday, April 02, 2010 23:10:05

Kapuya Akijimwaga na Akudo
Saturday, March 27, 2010 04:36:10

Sura ya Yesu Yadaiwa Kuonekana Kwenye Kikaangio
Monday, March 15, 2010 01:01:12

Mengi na Manji Wakutanishwa na Kombe la Dunia
Friday, March 12, 2010 01:33:59

   
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Jifotoe mama
Habari Mpya Mpya
 
> Siri ya Kimada Yafichuka
> Ajinyonga Baada ya Kunyimwa Mkopo
> VIDEO - Mwanaume Anayemchezea Simba Sharubu
> Kampeni zachachamaa, wapinzani nao watoa ahadi
> JK aendelea kutoa ahadi
> Pingamizi la Chadema baada ya siku 5
> Urefu Wasababisha Aache Shule ya Msingi
> Miaka 9 Jela Kwa Kuendesha Gari Huku Akiangalia Ngono
> VIDEO - Nywele Zilizokatiwa Bima ya Dola Milioni 1
> Kama Siku ya Kufa Haijafika...