Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   

 
 
Blogs
 
Habari za dunia
 
  'Yesu Alikuwa ni Muathirika wa Ukimwi'
Mchungaji wa kanisa moja nchini Afrika Kusini amezua zengwe kubwa nchini humo baada ya kudai kuwa Yesu alikuwa muathirika wa virusi vya HIV. ...

  PICHA - Mapenzi Yanaua..
Wahenga hawakukosea waliposema mapenzi yanaua, mwanamke mmoja wa nchini Uturuki amenusurika kufariki baada ya kujaribu kujiua kwa kujirusha toka ghorofa ya nne baada ya mpenzi wake aliyetaka kufunga naye ndoa kuamua kumchukua mwanamke mwingine. ...

  Siri ya Kimada Yafichuka
Mmoja wa wachimba madini wa nchini Chile ambao wamenasa mita 700 chini ya ardhi baada ya mgodi wa dhahabu waliokuwemo kuporomoka, ana kesi kubwa ya kujibu nyumbani akifanikiwa kutoka salama kwenye migodi hiyo baada ya mkewe kukutana na kimada wake kw ...

  Ajinyonga Baada ya Kunyimwa Mkopo
Mwanaume mmoja wa nchini Uturuki amejinyonga kwenye mlango wa kuingia kwenye sehemu aliyokuwa akifanya kazi baada ya kunyimwa mkopo na kampuni yake. ...

  VIDEO - Mwanaume Anayemchezea Simba Sharubu
Wakati watu wengi duniani hufuga mbwa na paka kwenye majumba yao, jamaa huyu wa nchini Iran yeye ameamua kufanya kitu cha hatari zaidi kwa kumfuga simba na kutembea nae mtaani. ...

   Habari zaidi za dunia
Miaka 9 Jela Kwa Kuendesha Gari Huku Akiangalia Ngono
Kama Siku ya Kufa Haijafika...
Mapenzi Yanapozidi....
'Osama Bin Laden ni Kibaraka wa Marekani' - Fidel Castro
Madaktari Watupiana Makonde Chumba cha Uzazi
Mgahawa wa Nyama za Binadamu Wafunguliwa Ujerumani
Rais wa Zamani wa Madagascar Ahukumiwa Kifungo cha Maisha
Hali Hii Isifike Bongo..
Kitabu cha Katuni za Kumkashifu Mtume Kutolewa Mwezi Ujao
Mwarabu Ampigilia Misumari 24 Hausigeli Wake
Nyota wa Muziki Aliyewaambukiza Watu Ukimwi Anusurika Kwenda Jela
Miaka 20 Jela Kwa Kumtikisa Mtoto Wake Mchanga
Wazikwa Hai Hadi Disemba...
VIDEO - Magari 46 Yagongana, Watu 72 Wajeruhiwa
VIDEO - Foleni Bongo?
Semenya Azua Tena Mjadala wa Jinsia Yake
Msiba Juu ya Msiba
VIDEO - Kichaa cha Mpishi Baada ya Kufukuzwa Kazi
Iran Yazindua 'Balozi wa Kifo'
Miaka 25 Jela Kwa Kuiba Chakula Kanisani
Afariki Baada ya Kulipukiwa na Simu ya Nokia
Atakayemuonyesha Obama Matiti Yake Kulipwa Dola Milioni 1
Mtoto wa Miezi 8 Afariki Baada ya Kunyeshwa Vodka
Amuuza Binti Yake Ili Apate Pesa za Pombe
'Dunia Amkeni'
 

 

Photo Gallery
Random Photo

 Ashakum
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Latest News
> 'Yesu Alikuwa ni Muathirika wa Ukimwi'
> PICHA - Mapenzi Yanaua..
> Askofu Awaponda Wanaomtukana Kikwete
> Siri ya Kimada Yafichuka
> Ajinyonga Baada ya Kunyimwa Mkopo
> VIDEO - Mwanaume Anayemchezea Simba Sharubu
> Kampeni zachachamaa, wapinzani nao watoa ahadi
> JK aendelea kutoa ahadi
> Pingamizi la Chadema baada ya siku 5
> Urefu Wasababisha Aache Shule ya Msingi