|
|
 |
Ajifungua watoto sita kwa mpigo |
|
Balkh Afghanistan, Mwanamama Sahar Gul 22 amejifungua mapacha sitakwa mpigo, miongoni mwao watatu wanawake na watatu wanaume! Na afya ya mama ni nzuri na upo uwezekano wa kuruhusiwa atoke hospitalini baada ya siku 1 au 2.
... Full Story |
|
|
|
 |
Msichana wa Kiaustralia anusurika kimaajabu |
|
Shirika la habari la Reuters linaripoti kuwa Msichana Muastralia Erin Langworthy amenusurika kupoteza maisha yake baada ya kamba aliyofungia miguu yake na daraja kukatika. Hayo yametokea pale msichana huyo alipojirusha kutoa sehemu ya mwinuko mkubwa
... Full Story |
|
 |
Panya kibao ndani ya Treni za Marekani |
|
Idadi kubwa ya panya katika METRO (Treni za chini ya Ardhi) huko Marekani, imewalazimisha Wafanyakazi wa treni hizo waandae mashindano ya kuchora picha inayoonesha uhuru na matanuzi ya panya ndani ya treni.
... Full Story |
|
 |
Demu wa miaka 13 afanyishwa ukahaba |
|
Habari kutoka Majengo Tanesco, mjini Sumbawanga zimeripoti kuwa msichana ambaye ni mwanafunzi wa darasa la saba alietumikishwa ngono ya lazima kwa miezi saba akitafutiwa wanaume na mwenye danguro kwa malipo ya kupewa wa mlo.
... Full Story |
|
|
 |
Tahadhari, Internet Inaua Nguvu za Kiume |
|
Habari si nzuri kwa wanaume wanaopenda kutumia wireless internet kwenye laptop zao wakiwa wameziweka laptop zao mapajani au karibu na viungo vyao muhimu vya kiume, utafiti wa wanasayansi wa Marekani na Argentina umeonyesha kuwa wireless internet inaua mbegu za kiume.
... Full Story |
|
|
|
 |
Wajiambukiza Ukimwi ili Wapate Msaada wa Pesa |
|
Hali ngumu ya maisha nchini Ugiriki imepelekea idadi ya waathirika wa ukimwi nchini Ugiriki iongezeke kwa kasi kutokana na baadhi ya watu kujiambukiza kwa makusudi ukimwi ili wapate pesa zinazotolewa kama msaada kwa waathirika wa ukimwi.
... Full Story |
|
|
 |
Mwalimu Apiga Punyeto Darasani Mbele ya Wanafunzi |
|
Mwalimu wa kiume mtaalamu wa somo la hisabati katika shule ya kikristo nchini Marekani amefukuzwa kazi baada ya kushusha nguo zake darasani na kupiga punyeto mbele ya wanafunzi wake. Alikuwa akipiga punyeto kwa siri mbele ya wanafunzi wake kwa miaka 10 iliyopita.
... Full Story |
|
|
 |
Sura Ya Mtu Yaonekana Kwenye Makende |
|
Daktari mmoja wa nchini Kanada alipigwa na butwaa pale alipompiga picha ya ultrasound mgonjwa wa kiume aliyekuwa amevimba makende yake na kukutana na picha ya sura ya mtu anayeonekana yuko kwenye maumivu makali.
... Full Story |
|
 |
Baunsa Ageuka Shoga.. |
|
Baunsa wa nchini Marekani ambaye enzi ya ujana wake hakupata mafanikio makubwa kwenye mashindano ya kunyanyua vitu vizito amerudi tena kwenye mchezo huo safari hii akishindana kwenye kitengo cha wanawake.
... Full Story |
|
 |
VIDEO - Watu Hawana Utu Wala Huruma |
|
Ubinadamu umepotelea wapi? watu hawana huruma siku hizi, hayo yanadhihirishwa na video hii ya mtoto huyu wa nchini China ambaye aligongwa na gari mara mbili na kuachwa barabarani watu wakimpita bila ya kumpa msaada wowote mpaka alipokanyagwa na gari jingine kwa mara ya tatu.
... Full Story |
|
|
|
|
 |
Ana Miguu Mikubwa Kuliko Watu Wote Duniani |
|
Anapopita barabarani watu hugeuza shingo zao na kubaki wakiushangaa urefu wake, wengine humuuliza wewe ndiye mtu mrefu kuliko wote duniani? jibu huwa ni hapana lakini anashikilia rekodi ya dunia ya kuwa na miguu mikubwa kuliko watu wote duniani.
... Full Story |
|
|
|
 |
Ukisikia Miujiza Ndio Hii... |
|
Mwanamke huyu wa nchini Mexico huenda alipata bahati kubwa sana kuweza kuendelea kuishi duniani hadi leo, alipigwa bunduki iliyoambatana na bomu lililonasa kwenye mdomo wake, wakati wowote lingeweza kulipuka, madaktari walikataa kumtibia, kila mtu alikimbia na hakutaka kuwa karibu naye.
... Full Story |
|
|
 |
Utamu wa Mapenzi Ndani ya Gari.... |
|
Wapenzi wawili wa nchini China waliokuwa wakifanya mapenzi ndani ya gari walinusurika kuiaga dunia baada ya kunogewa na malavidavi na kuliacha gari likienda lenyewe na kugonga na kuuvunja ukuta wa jengo la maegesho ya magari.
... Full Story |
|
|
|