Health

Watoto wenye vichwa vikubwa watatibiwa bure
SERIKALI imetangaza kwamba watoto wenye matatizo ya vichwa vikubwa na wale wenye matatizo ya uti wa mgongo watapata matibabu hayo nchini bure katika taasisi ya mifupa MOI. ... Full Story

MOI yapata vifaa thabiti vya upasuaji ugonjwa wa Uti wa
TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo ya Muhimbili [MOI] imepata msaada wa vifaa vya upasuaji wa Uti wa Mgongo vinavyotambulika kwa jina la Extreme Lateral Lumber Interbody Fussion vyenye thamani ya shilingi Mil. 370. ... Full Story

Bajeti Ndogo ni chanzo cha vifo vya Malaria
BAJETI ndogo inayotolewa na Serikali katika vituo vya afya nchini ni chanzo cha ongezeko la vifo vya Malaria nchini. ... Full Story

Malaria bado Tishio Tanzania-Waziri
WATANZANIA zaidi ya 800,000 hufa kila mwaka kutokana na ugonjwa wa Malaria. ... Full Story

Wagonjwa 25 wa Moyo Wamekwenda India leo
WAGONJWA wapatao 25 wanaosumbuliwa na magonjwa ya moyo wameondoka kwenda India kwa ajili ya kwenda kupatiwa matibabu ... Full Story

Muhimbili Yapata Vipimo Vipya
HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili imepata fursa ya kupata mashine mpya ya kisasa ya vipimo iitwayo ‘CT Scanner’. ... Full Story

Ukerewe Yatikiswa na Ugonjwa wa Minyoo na Kichocho
WAKAZI wa Wilaya ya Ukerewe, Mkoani Mwanza wanaugua ugonjwa wa kichocho na minyoo. ... Full Story

Baby With Extra Legs Protruding From Buttocks
Faith Mwampe has the feet of an unformed twin protruding from her buttocks, meaning she may never be able to walk unless it is removed. The Zambian baby, who was born in April last year, is set to undergo the five-hour operation. ... Full Story

'Man mountain' From 46st virgin to gym hunk
FORMER fatty David Smith has gone from chunk to hunk - after losing a whopping 29 stone and having more than 30lbs of excess skin removed. ... Full Story

Bibi wa miaka 92 ana mimba ya tangia mwaka 1948 mpaka leo
Bibi wa miaka 92 ambaye alipata mimba wakati wa ujana wake miaka 60 iliyopita anaingia leba kwaajili ya kujifungua mtoto huyo baada ya miaka yote hiyo kupita. ... Full Story

Mtoto mnene kuliko wote dunia apungua kilo 191
Mtoto mnene kuliko wote duniani aliyekuwa na kilo 381 amefanikiwa kupunguza nusu ya kilo za mwili wake baada ya madaktari kumfanyia upasuaji kuondoa mafuta kwenye mwili wake. ... Full Story

Jaribio Ya Chanjo ya Ugonjwa wa Kipindupindu Yaja
CHANJO ya majaribio ya ugonjwa kipindupindu inatarajiwa kuanza mwezi huu huko Zanzibar ... Full Story

Wachangia Lita 67 za Damu
WAFANYAKAZI wa mgodi wa Barrrick Bulyanhulu na familia zao wametoa lita 67 za damu wakati wa sherehe ya sikukuu ya familia iliyofanyika jana mgodini hapo. ... Full Story

Boy has foot removed from brain
A boy has had a tiny foot and other partially formed body parts removed from inside his brain. ... Full Story

10-Pound Hairball Pulled From Girl's Stomach
An 11-year-old girl in Mumbai, India, was hospitalized with pain in her stomach, and surgeons were forced to operate. What they found was a foot-long hairball. ... Full Story

HIV illegal immigrant may have infected more than 400
An illegal immigrant may have infected hundreds of women with HIV in a string of one-night-stands, it has emerged. ... Full Story

Planting the seeds of malaria control
Across sub-Saharan Africa malaria kills as many as 3000 young children each day. Most of these deaths are unnecessary, because there are highly effective medicines that can cure malaria infection —artemisinin-based combination therapies (ACTs). ... Full Story

Smoking riskier for women's hearts
Women who smoke may develop heart disease at almost the same age as male smokers, wiping out the natural difference between the sexes, doctors said Tuesday. ... Full Story

Photo Gallery
 
  Cheka Unenepe Part 4
 
  Umewahi kuona au Kufanya haya! kweli tupu
Most viewed news
Katuni Nyingine ya Kumkashifu Mtume Yachapishwa Sweden
Ruhsa Kujiua Ukitimiza Miaka 70
Mtoto wa Miaka 3 Ajiua Kwa Kujipiga Risasi
Kakobe atoa mpya, aitilia mkwara serikali
Wazanzibari washerehekea umeme
Nyumba 175 zabomoka kufuatia mvua kali -Mwanza
Polisi Anapozimeza Pesa za Hongo Alizopokea
Mwanamke Apata Ajali Akijionyoa Nywele za Sehemu za Siri
Amchinja Mkewe Kwa Kunyimwa Unyumba Kwa Miaka 21
Bibi wa China Aota Mapembe Kama Mbuzi