About Us
|
Contact Us
|
Advertise in this site
Home
|
Listen Live Radio
|
Play Games Online
|
News Videos
|
News Photos
|
Events
|
Buy and Sell
Tanzania News
World News
Business & Finance
Sports
Interviews
Education
Technology
Health
Life Style
Entertainments
Photo Gallery
Education
Wanafunzi watakaofaulu vizuri Hisabati, Kingereza kupat
WANAFUNZI wa shule za msingi na sekondari watachuana katika masomo ya hisabati, kingereza, Kiswahili na Jiografia ili kuwania tunzo ya elimu iitwayo “Tanzania Academic Award”
more details
Walimu wanafunzi wagomea posho ya Sh 500 kwa siku
WANAFUNZI wa Chuo cha Ualimu Morogoro [TTC] wameazimia kugoma kwa muda usiojulikana kwa kupinga posho ndogo kwa ajili ya mazoezi nje ya vituo
more details
Wanafunzi wanaofeli wanaongezeka –CWT
CHAMA CHA Walimu Tanzania [CWT] kimeitaka Serikali kufuta sera inayopinga kurudia darasa kwa wanafunzi wanaofeli na kutaka sera hiyo irudishwe kwa kuwa wanafunzi wengi wanazembea mashuleni
more details
Walimu Watakaofeli Kiingereza, Hisabati kutopangiwa Vituo vya Kazi
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Prof. Jumanne Maghembe amesema kuwa walimu walio vyuoni wasiofaulu masomo ya Kiingereza na Hisabati kwa kiwango cha juu hawatasajiliwa kuwa walimu za shule za msingi na Sekondari nchini
more details
Walimu Tanzania Huwawekea Majibu Chooni Wanafunzi Wao
BARAZA LA Mitihani ya Taifa [NECTA] imetoa taarifa ya mbinu zinazotumika kufanya udanganyifu wa wizi wa mitihani.
more details
Usaili Chuo Kikuu Wamalizika, Maandamano Makubwa Kesho
ZOEZI la udahili upya wanafunzi waliosimamishwa masomo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam limekamilika
more details
Mtoto wa miaka 11 awa mwalimu Marekani
Mtoto aliyepata umaarufu kama mtoto mwenye akili kuliko wote duniani amekuwa mwalimu akifundisha masomo yanayoelezea migogoro ya kiuchumi duniani na matatizo ya vita duniani.Hupelekwa shule na wazazi wake kama watoto wengine.
more details
Serikali yatakiwa kutatua matatizo ya vyuo vikuu
UMOJA wa vyuo vya elimu ya juu vya Umma Tanzania [UVEJUTA] wameitaka serikali kutatua matatizo yanayofanywa kufungwa kwa vyuo hivyo kuliko kukimbilia kuvifungua kabla hawajamaliza matatizo.
more details
Walimu wakuu 35 wavuliwa vyeo
Mkoa wa shinyanga umewavua madaraka walimu wakuu 35 wakiwemo waratibu wa elimu watatu kwa kudaiwa kuwa chanzo cha kufeli kwa wanafunzi mkoani humo.
more details
Wanafunzi 30 Wafukuzwa Shule
WANAFUNZI zaidi ya 30 wa kidato cha tano katika shule ya Sekondari Ikizu Wilayani Bunda, Mkoani Mara wamefukuzwa shule baada ya kuhusika katika mgomo wa kutoingia madarasani na kula chakula.
more details
Hisabati na Kingereza Bado ni Tatizo Shule za Msingi
WAKATI matokeo ya mitihani ya Darasa la Saba yakitangazwa leo asubuhi, kiwango cha kufaulu katika masomo ya Hisababti na Kiingereza kimezidi kushuka.
more details
Shule Yafungwa Kwa Kukosa Chakula
ZAIDI ya wanafunzi 200 wa kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari ya Ufundi Moshi, wamelazimika kusitisha masomo yao kwa muda usiojulikana kutokana na upungufu wa chakula unaoikabili shule hiyo.
more details
Foreign students must play by the Rule
STUDENTS who wish to study in the UK from abroad will have to be sponsored by a college or university when tight new regulations come into effect from next March.
more details
Tanzanians traveling to UK to get their visa from Kenya
All Tanzanians wishing to travel to Britain would from December this year process their travel visas in Nairobi,John Bradshaw, a British High Commission Press Officer, told journalists in Dar es Salaam.
more details
HIV testing planned amid scare at Mo. high school
Officials plan to start HIV testing at a suburban St. Louis high school where as many as 50 students may have been exposed to the virus that causes AIDS.
more details
Guns for Texas school's teachers
Teachers in one part of the US state of Texas are to be allowed to carry concealed firearms when the new school term opens this month.
more details
Slavery history lessons to be compulsory
Britain's involvement in the slave trade will be studied by all English secondary pupils next term
more details
IMMIGRATION NEWS WORLDWIDE
Boris immigrants amnesty is 'naive'
Boris "Illegal immigrant amnesty in London"
UK Immigration news on ID CARDS
UK announces changes to accepted English lang
More Education News
Walimu wanafunzi wagomea posho ya Sh 500 kwa siku
Wanafunzi wanaofeli wanaongezeka –CWT
Walimu Watakaofeli Kiingereza, Hisabati kutopangiwa Vituo vya Kazi
Walimu Tanzania Huwawekea Majibu Chooni Wanafunzi Wao
Usaili Chuo Kikuu Wamalizika, Maandamano Makubwa Kesho
Mtoto wa miaka 11 awa mwalimu Marekani
Serikali yatakiwa kutatua matatizo ya vyuo vikuu
Walimu wakuu 35 wavuliwa vyeo
Wanafunzi 30 Wafukuzwa Shule
Schorlaships
Study in United Kingdom
Study in United States
Study in Europe
Study in Australia
Study in Japan
Study in China
Study in India
Education Visa Requirements
USA
UNITED KINGDOM
EUROPEAN UNION
JAPAN
AUSTRALIA
CHINA
INDIA
Copyright © 2008 Nifahamishe.Com
Privacy Policy
|
Disclaimer
|
Advertise
|
Contact
|
Site Map
|
Site Designed by AG Media UK LTD