Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Siku ya Wapendanao Patakuwa Hapatoshi Kwenye Mgahawa Huu


Friday, February 05, 2010 10:18 PM
Katika kusherekea siku ya wapendanao duniani, Valentine's Day, mgahawa mmoja wa nchini Kanada unawaalika wateja wake kufanya mapenzi kwenye vyoo vya mgahawa huo.
Mgahawa wa Mildred's Temple Kitchen wa mjini Toronto nchini Kanada umeibuka na staili ya ajabu ya kuwavutia watu kwenye mgahawa huo kusherehekea siku ya wapendanao (februari 14).

Mgahawa huo unawaalika wateja kufanya mapenzi kwenye vyoo vya mgahawa huo.

Meneja wa mgahawa huo, Rory Gallagher, alisema kuwa katika kusherekea siku ya wapendanao, kuanzia februari 12 hadi februari 15 watu wataruhusiwa kufanya mapenzi kwenye vyoo vya mgahawa huo.

Gallagher aliendelea kusema kuwa ili kufanya mambo yote yaende sawa, mgahawa huo umeandaa wafanyakazi ambao watakuwa na jukumu la kuviweka safi vyoo hivyo wakati wote.

Akiongea na gazeti la The Toronto Star, mmoja wa wamiliki wa mgahawa huo, Donna Dooher, alisema "Watu wamekuwa wakifanya mapenzi kwa siri kwenye vyoo vyetu, tunataka siku ya wapendanao iwe ya kipekee".

Hata hivyo mmiliki huyo alisema kuwa wateja watatakiwa kuja na kondomu zao wenyewe.

Katika hali ya kushangaza zaidi, Ofisi ya masuala ya afya ya jamii ya Toronto imeuruhusu mgahawa huo kuendelea na mipango yake hiyo huku ikitoa taarifa kuwa mgahawa huo hauvunji sheria yoyote kwakuwa vitendo vya kujamiiana havitafanyika jikoni, vitafanyika kwenye vyoo ambavyo vitawekwa safi wakati wote.

 
    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: zhao    Friday, February 05, 2010 22:51:30   
 
sasa kweli,wachanijisogeze nikakobee
 
 
Mtoa Maoni: Ubuguvu    Saturday, February 06, 2010 00:39:27   
 
Huu mgahawa umefanya lamana kuwaruhusu kufanya mapenzi chooni ili kupunguza kero kwa wateja wengine waliokuepo maana wazungu hawana aibu katika jambo hili hata kidogo busara ya hali ya juu kuandalia sehemu maalu ya kumegana na hii halina tatito kwa sababu hii siku ya wapendanao na walioruhusiwa kufanya mapenzi wapenda nao sio makahaba MOMS016 beba nanihi kabisa MINA usiende utawasumbua watu na miguno yako kama yule bibi wa uingeleza MKALIWAM na m2 mzima b tengenezene yenu bongo
 
 
Mtoa Maoni: mdau    Saturday, February 06, 2010 00:54:08   
 
mimi nipo hapa mbona sina habari hizo,makubwa haya
 
 
Mtoa Maoni: DeClarkes    Saturday, February 06, 2010 09:46:26   
 
Loo hii kali, ngoja nikakate ticket mbili na mimi nikafaidi ya kwenye huo mgahawa!
 
 
Mtoa Maoni: MINA    Saturday, February 06, 2010 11:34:03   
 
Haaaaaaaaaa ama kwaeli raha jipe mwenyew hapo chacha UBUGUVU me nitakuwa kisiwani ZENJI yani kuna ofa kamambe 15 tu unatua kisiwani wewe tu... MOMSO16 ukienda uko nakuacha... BHAI mwambie DILLY muende uko mana hapo amu enjoy kabisa mpo wengi... MPAKA mchana watoto wakienda shule KING kimya au ndio maandlizi
 
 
       Jumla kuna maoni (11), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za dunia
> 'Yesu Alikuwa ni Muathirika wa Ukimwi'
> PICHA - Mapenzi Yanaua..
> Siri ya Kimada Yafichuka
> Ajinyonga Baada ya Kunyimwa Mkopo
> VIDEO - Mwanaume Anayemchezea Simba Sharubu
> Miaka 9 Jela Kwa Kuendesha Gari Huku Akiangalia Ngono
> Kama Siku ya Kufa Haijafika...
> Mapenzi Yanapozidi....
> 'Osama Bin Laden ni Kibaraka wa Marekani' - Fidel Castro
> Madaktari Watupiana Makonde Chumba cha Uzazi
> Mgahawa wa Nyama za Binadamu Wafunguliwa Ujerumani
> Rais wa Zamani wa Madagascar Ahukumiwa Kifungo cha Maisha
> Hali Hii Isifike Bongo..
> Kitabu cha Katuni za Kumkashifu Mtume Kutolewa Mwezi Ujao
> Mwarabu Ampigilia Misumari 24 Hausigeli Wake
> Nyota wa Muziki Aliyewaambukiza Watu Ukimwi Anusurika Kwenda Jela
> Miaka 20 Jela Kwa Kumtikisa Mtoto Wake Mchanga
> Wazikwa Hai Hadi Disemba...
> VIDEO - Magari 46 Yagongana, Watu 72 Wajeruhiwa
> VIDEO - Foleni Bongo?
> Semenya Azua Tena Mjadala wa Jinsia Yake
> Msiba Juu ya Msiba
> VIDEO - Kichaa cha Mpishi Baada ya Kufukuzwa Kazi
> Iran Yazindua 'Balozi wa Kifo'
> Miaka 25 Jela Kwa Kuiba Chakula Kanisani

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Namabengo Computer Repairing Services Call: 0762-486583 0r 0712-409641
Habari Zilizosomwa Sana
1 'Yesu Alikuwa ni Muathirika w...
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Ashakum
Habari Mpya Mpya
> 'Yesu Alikuwa ni Muathirika wa Ukimwi'
> PICHA - Mapenzi Yanaua..
> Askofu Awaponda Wanaomtukana Kikwete
> Siri ya Kimada Yafichuka
> Ajinyonga Baada ya Kunyimwa Mkopo
> VIDEO - Mwanaume Anayemchezea Simba Sharubu
> Kampeni zachachamaa, wapinzani nao watoa ahadi
> JK aendelea kutoa ahadi
> Pingamizi la Chadema baada ya siku 5
> Urefu Wasababisha Aache Shule ya Msingi