Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Uvaaji Wako wa Suruali Hudhihirisha Umri Wako


Tuesday, February 02, 2010 3:11 AM
Kwa mujibu wa matokeo ya utafiti uliofanyika hivi karibuni, uvaaji wa suruali wa mwanaume huendana na umri alio nao, wakati vijana wengi hushusha suruali zao chini ya makalio wanaume wanaoanza kuzeeka huzipandisha suruali zao juu ya kiuno.
Utafiti uliofanywa na watafiti wa Uingereza umedhihirisha kuwa kuna uhusiano wa uvaaji wa suruali wa mwanaume na umri wake.

Paul Baldwin, mkurugenzi wa nguo za kiume katika duka kubwa la nguo na vipodozi la Debenhams, la nchini Uingereza ambalo liliendesha utafiti huo, alisema kuwa kuna uhusiano wa mkubwa kati ya uvaaji wa suruali wa mwanaume na umri wake.

Watoto chini ya miaka 12 kawaida huvaa suruali zao kwenye usawa wa kiuno kwakuwa kwa umri huo hununuliwa nguo na wazazi wao na wakati mwingine kuvalishwa na wazazi wao.

Wanapofikisha umri wa kati ya miaka 16 na 26 huanza kuwaiga waimbaji wa Hip Hop wa Marekani na kuanza kuvaa suruali zao chini ya makalio. (kata K).

Mwanaume anapokuwa na umri kati ya miaka 27 na 39 huanza kuvaa suruali kwa jinsi inavyotakiwa iwe usawa wa kiuno. Miongoni mwa sababu zinachongia kumfanya mwanaume aanze kubadilika ni masuala ya kazi au kuoa.

Mwanaume anapofikisha umri wa miaka 45, kama vile dalili ya kuanza kwa uzee, suruali nayo huanza kupanda juu na kuvaliwa nchi mbili juu ya kiuno. Suruali huendelea kupandishwa juu ya kiuno na kufikia inchi 5 mwanaume anapofikisha umri wa miaka 57.

Kuanzia umri wa miaka 65, kiuno cha mwanaume huanza kunywea ndani na hivyo kuifanya suruali ianze kushushwa chini taratibu hadi kufikia usawa wa inchi moja tu juu ya kiuno mwanaume anapofikisha umri wa miaka 75.

Utafiti huu ulifanywa kwa kushirikisha jumla ya wanaume 1,000.

 
    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Semenya    Tuesday, February 02, 2010 06:03:16   
 
Haya tena Kipara Momso Nautiakasi Ubuguvu mambo hayo najua Bhai yeye hayo sio mavazi yake mambo yake yaleeeeee simalizi.

Mie da mina na pilly mambo yetu ma dera.

 
 
Mtoa Maoni: tumbo sotoka    Tuesday, February 02, 2010 08:03:42   
 
mbona picha za wanaume wanao anza kuzeeka hazipo!!!!au huu utafiti umefanywa na wazee!!
 
 
Mtoa Maoni: Ubuguvu    Tuesday, February 02, 2010 09:42:18   
 
Yani hawa ndiyo wanaitwa watalam kueleza kitu kuva suruali kata k hii bila ya kutumia akili kusoma na hata bila ya kufanya utafiti inajulika hili halitaji gym (nakusudia hailitaji nguvu) na hizi picha hapa hawa ni wasudani ndiyo wenye tabia hii lakini kwa wale wanaoishi nje ya nchi yao na wawe wanatokea kusini mwa sudani MINA habari zako hizi za kucomment muachie NAUTIA K habari ya hapo chini ya kiisilam jifanye kama hukuiona kama unavyoacha habari za michezo
 
 
Mtoa Maoni: Muona Mbali    Tuesday, February 02, 2010 10:16:19   
 
Wewe ubuguvu hivi hamna habari unayoisoma bila kuandika pumba zako
sasa hapo sudan inahusiana vipi na hii habari?
Tutamwambia Nautiakasi akuanzishie moto na wewe kama aliomuanzishia Mina

 
 
Mtoa Maoni: Mtz09    Tuesday, February 02, 2010 11:14:37   
 

Kuna mwimbaji mmoja wa Hip Hop aliongelea kuhus uvaaji huo wa suruale kwenye kipindi cha Oprah, akasema uvaaji huu ulianzia jela, na maana ya kushusha suruale hivyo ni kujitangazia kwamba wewe ni katika jamii ya wanaume mashoga!!! sijui kama vijana wengine wanalielewa hili?

 
 
       Jumla kuna maoni (11), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
More life style news and articles
> Kelele za Kimahaba Zamponza
> Urefu Wasababisha Aache Shule ya Msingi
> VIDEO - Nywele Zilizokatiwa Bima ya Dola Milioni 1
> Kweli Mapenzi Hayana Umri...
> Mtoto Mnene Kuliko Wote Duniani
> Maisha Yake Yapo Hatarini Iwapo Atalala
> Utamu na Faida za Tende
> Madada Wanne Wazaa Watoto Wanne Ndani ya Siku Nne
> Babu Aota Mmea wa Njegere Kwenye Mapafu
> Akataa Tsh. Milioni 500 Ili Asiolewe
> Auza Bikira Yake Kwa Tsh. Milioni 500
> 'Mwanaume Mjamzito' Kujifungua Mtoto wa Tatu
> Operesheni za Kurudisha Bikira Zawa Dili Uingereza
> Matiti Yapigwa Pasi Ili Kuzuia Watoto Wasibakwe
> Inakuwaje Wanigeria Wakazaa Mtoto Mzungu?
> VIDEO - Apewa Mkong'oto na Kuozeshwa Mke Kinguvu
> Mrembo Mwenye Matiti Makubwa Kuliko Wote Duniani Apigania Maisha Yake
> Mjadala wa Yai na Kuku Kipi Kilianza Wapata Jibu la Kisayansi
> Nyota wa Filamu za Ngono Anapokuwa Mwalimu wa Sekondari..
> Keki ya Bethidei Kutimiza Miaka 130
> VIDEO - Mtoto Azaliwa na Sura Yenye Kinyago China
> Ili Asifariki Analazimika Kula Kila Baada ya Dakika 15
> Afariki Baada ya Kupewa Taarifa ya Kifo Chake
> Watu Wafupi Wako Kwenye Hatari ya Kufa Kwa Magonjwa ya Moyo
> Hatimaye Sio Mungu Tena..

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Namabengo Computer Repairing Services Call: 0762-486583 0r 0712-409641
Habari Zilizosomwa Sana
1 Kanisa Lasisitiza Kuchoma Mot...
2 VIDEO - Simba Alipomgeuza Asu...
3 Kelele za Kimahaba Zamponza
4 Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nch...
5 Kesi ya Rama yahamishiwa Maha...
6 Wanawake tumieni fursra hii
7 Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa...
8 Hatimaye Kanisa Laahirisha Ku...
9 Viagra Ya Saudi Arabia Yazua ...
10 VIDEO ya Salamu za EID MUBARA...
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Duh pole sana
Habari Mpya Mpya
> VIDEO ya Salamu za EID MUBARAK Toka Nifahamishe.Com
> Hatimaye Kanisa Laahirisha Kuchoma Moto Quran
> Viagra Ya Saudi Arabia Yazua Mzozo
> Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nchini Kwa Lugha Chafu
> Kesi ya Rama yahamishiwa Mahakama Kuu
> Wanawake tumieni fursra hii
> Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa mitihani, Songea, Mwanza
> Kanisa Lasisitiza Kuchoma Moto Quran Jumamosi
> Kelele za Kimahaba Zamponza
> VIDEO - Simba Alipomgeuza Asusa Mkufunzi Wake