Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Mtoto Aliyezaliwa Akiwa na Miguu Minne, Mikono Minne Aanza Shule


Lakshmi Tatma alivyokuwa awali na alivyo sasa
Thursday, January 28, 2010 2:53 AM
Mtoto wa nchini India ambaye alizaliwa akiwa na miguu minne na mikono minne, ameanza shule miaka miwili baada ya kufanyiwa operesheni ya kuviondoa viungo vilivyozidi.
Lakshmi Tatma alichukua nafasi kubwa kwenye vyombo vya habari alipozaliwa katika mji wa Bihar nchini India miaka minne iliyopita akiwa na miguu minne na mikono minne.

Lakshmi alizaliwa mwili wake ukiwa umeungana kuanzia kiunoni na pacha mwenzake ambaye alikuwa hana kichwa na hivyo kumfanya awe na jumla ya miguu minne na mikono minne.

Wakati huo kutokana na maumbile yake ya ajabu Lakshmi alikuwa akiabudiwa kama mungu wa kihindu.

Baada ya operesheni kubwa iliyofanyika miaka miwili iliyopita ambayo ilimalizika kwa mafanikio makubwa, miguu na mikono iliyozidi kwenye kiwiliwili chake iliondolewa.

Hivi sasa Lakshmi ametimiza miaka minne na ameanza shule sambamba na watoto wenzake.

"Nikifikiria jinsi alivyokuwa, sikutegemea Lakshmi angeweza kwenda shule au angekuwa na maisha aliyo nayo sasa", alisema mama yake Poonam, mwenye umri wa miaka 26.

"Vitu vyote ambavyo anaweza kuvifanya sasa alikuwa hawezi kuvifanya kabla ya operesheni, alikuwa hawezi hata kukaa lakini sasa anaweza hata kukimbia na kucheza na watoto wenzake", aliendelea kusema mama yake.

Lakshmi pamoja na kwamba hivi sasa amepona kabisa bado anahitajika kufanyiwa operesheni zaidi baada jinsi anavyozidi kukua ili kuvirekebisha viungo vyake.
  GONGA HAPA KWA PICHA ZA LAKSHMI  

 
    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: soud    Thursday, January 28, 2010 03:58:13   
 
Hawa wahindi ni waajabu sana Ok mtoto kazaliwa na viungo zaidi wakaanza kumuabudu kama mungu wao Je na wewe Bhai kesho utaanza kuabudu vinyago hapa bongo
 
 
Mtoa Maoni: Bhai    Thursday, January 28, 2010 07:05:10   
 
wewe soud wewe iko mapumbafu sana, kanini wewe sema mimi iko abudu kitu ingine, mimi abudu mungu kuba peke yake, pana abudu gombe mimi,mutu jinga kama wewe, kojoa tandani, naweka dole yako matakoni halafu nanusa harufu yake.habari ndo hiyo

 
 
Mtoa Maoni: chukulubu     Thursday, January 28, 2010 08:04:17   
 
acheni maneno machafu hii ni globu ya kuelimisha sio kutukana
 
 
Mtoa Maoni: pili    Thursday, January 28, 2010 09:12:15   
 
no need to be angry mr bhai,
May god give these doctors strength and life so that they ll keep on helping people.
madaktari wa tz nao wanatakiwa wawe shap ili kuokoa watoto wengi wanaozaliwa na maumbo yasiyo ya kawaida.

 
 
Mtoa Maoni: Kidimbelladhiy    Thursday, January 28, 2010 10:52:33   
 
Mwenyz mungu anawaonesha wanadamu uwezo wake wa kuumba aone km mtakufuru au? sasa hao wahindi wengine wamekufuru kwa kumuabudu kiumbe, 2muombe tu mungu kwa kutuumba hv 2livyo!
 
 
       Jumla kuna maoni (10), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
More life style news and articles
> Kelele za Kimahaba Zamponza
> Urefu Wasababisha Aache Shule ya Msingi
> VIDEO - Nywele Zilizokatiwa Bima ya Dola Milioni 1
> Kweli Mapenzi Hayana Umri...
> Mtoto Mnene Kuliko Wote Duniani
> Maisha Yake Yapo Hatarini Iwapo Atalala
> Utamu na Faida za Tende
> Madada Wanne Wazaa Watoto Wanne Ndani ya Siku Nne
> Babu Aota Mmea wa Njegere Kwenye Mapafu
> Akataa Tsh. Milioni 500 Ili Asiolewe
> Auza Bikira Yake Kwa Tsh. Milioni 500
> 'Mwanaume Mjamzito' Kujifungua Mtoto wa Tatu
> Operesheni za Kurudisha Bikira Zawa Dili Uingereza
> Matiti Yapigwa Pasi Ili Kuzuia Watoto Wasibakwe
> Inakuwaje Wanigeria Wakazaa Mtoto Mzungu?
> VIDEO - Apewa Mkong'oto na Kuozeshwa Mke Kinguvu
> Mrembo Mwenye Matiti Makubwa Kuliko Wote Duniani Apigania Maisha Yake
> Mjadala wa Yai na Kuku Kipi Kilianza Wapata Jibu la Kisayansi
> Nyota wa Filamu za Ngono Anapokuwa Mwalimu wa Sekondari..
> Keki ya Bethidei Kutimiza Miaka 130
> VIDEO - Mtoto Azaliwa na Sura Yenye Kinyago China
> Ili Asifariki Analazimika Kula Kila Baada ya Dakika 15
> Afariki Baada ya Kupewa Taarifa ya Kifo Chake
> Watu Wafupi Wako Kwenye Hatari ya Kufa Kwa Magonjwa ya Moyo
> Hatimaye Sio Mungu Tena..

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
1 Kanisa Lasisitiza Kuchoma Mot...
2 VIDEO - Simba Alipomgeuza Asu...
3 Kelele za Kimahaba Zamponza
4 Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nch...
5 Kesi ya Rama yahamishiwa Maha...
6 Wanawake tumieni fursra hii
7 Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa...
8 Viagra Ya Saudi Arabia Yazua ...
9 Hatimaye Kanisa Laahirisha Ku...
10 VIDEO ya Salamu za EID MUBARA...
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Duh pole sana
Habari Mpya Mpya
> VIDEO ya Salamu za EID MUBARAK Toka Nifahamishe.Com
> Hatimaye Kanisa Laahirisha Kuchoma Moto Quran
> Viagra Ya Saudi Arabia Yazua Mzozo
> Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nchini Kwa Lugha Chafu
> Kesi ya Rama yahamishiwa Mahakama Kuu
> Wanawake tumieni fursra hii
> Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa mitihani, Songea, Mwanza
> Kanisa Lasisitiza Kuchoma Moto Quran Jumamosi
> Kelele za Kimahaba Zamponza
> VIDEO - Simba Alipomgeuza Asusa Mkufunzi Wake