Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
VIDEO - Wafungwa wa Filipino Watoa Video Mpya ya Michael Jackson


Wednesday, January 27, 2010 10:55 PM
Wafungwa wa jela yenye ulinzi mkali ya nchini Philippines ambao walijipatia umaarufu mkubwa miaka mitatu iliyopita walipotoa video ya nyimbo ya Michael Jackson 'Thriller' wamerudi kwenye fomu tena na kutoa video ya nyimbo mpya ya Michael Jackson 'This is It'.
Wafungwa wa Kifilipino ambao walitamba na video ya wimbo wa Michael Jackson "Thriller" wamerudi tena kwenye mitandao kwa fujo safari hii wakitamba na video ya wimbo mpya wa Michael Jackson "This is It".

Wafungwa hao wa jela yenye ulinzi mkali nchini Filipino ya CEBU walijipatia umaarufu mkubwa duniani baada ya kutoa video yao ya "Thriller" mwaka 2007. Video hiyo tangia ilipowekwa kwenye YouTube wakati huo hadi sasa imeishaangaliwa na watu zaidi ya milioni 37.5 akiwemo mfalme wa muziki wa Pop, marehemu Michael Jackson.

"Wakati wa uhai wake Michael aliiangalia video ya wafungwa wa CEBU kwenye YouTube na kuifurahia sana, kabla ya kuanza riheso alipenda kuiangalia video hiyo na kupata morali zaidi", alisema mtaalamu wa kudansi wa Michael Jackson, Travis Payne.

Hivi karibuni Payne alikwenda Philippines na madansa wawili wa Michael Jackson na kuwafundisha kwa siku moja tu wafungwa 1,200 kudansi wimbo mpya wa Michael Jackson "This is it".

Shoo ya wimbo huo ina vipande vya nyimbo zingine za Michael Jackson kama vile ‘They Don’t Care About Us’ na wimbo mpya wa Michael "Bad".

Video mpya ya wafungwa hao iliwekwa kwenye YouTube siku ya ijumaa na hadi sasa imeishaangaliwa na watu milioni 1.5.

Angalia VIDEO mpya na ya zamani ya wafungwa wa Filipino chini.


VIDEO - Wafungwa wa Filipino Watoa Video Mpya ya Michael Jackson


VIDEO ya Mwanzo ya Wafungwa wa Filipino



 
    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Cinderella    Thursday, January 28, 2010 00:21:33   
 
mmh makubwa haya!!!!!!!!!!!
 
 
Mtoa Maoni: Semenya    Thursday, January 28, 2010 01:02:20   
 
Duh!!! wafungwa wanayarudi sio mchezo. Nam miss sana mchizi wangu
JACKO R.I.P!!!!!

Hao wafungwa si wapunguziwe vifungo au unasemaje Ubuguvu? Hiyo prayer yako haija tengenea tu mbona kimya kingi kaka! vp BHAI kakupigia? yupo Angola anacheki boli.

 
 
Mtoa Maoni: Great Thinker    Thursday, January 28, 2010 01:26:01   
 
Kweli hiki ni "Chuo cha Mafunzo"! Nadhani ipo haja ya nchi yetu TZ kuiga mfano bora kama huu wa kuwafunza wafungwa 'skills' mbali mbali, sio kuwarundika tu na kuwapa chakula kisichoridhisha. Ukiangalia huu uwanja wao unatumika kwa michezo mbali mbali, na gereza lao ni safi kabisa. Ni vizuri kutafakaria hili Tanzania. Wakuu wa Tanzania mpoooo!....Ubuguvu naamini umewapenda kweli jamaa...unafikiria na wewe ungekuwa sehemu ya waimbaji hasa jamaa wa mbele pale! ila kumbuka ile ni jela! hahahaaa
 
 
Mtoa Maoni: mdau     Thursday, January 28, 2010 03:25:12   
 
Wala si madogo Cinderella, lkn sioni mademu au huko mademu wote innocent.
 
 
Mtoa Maoni: Kidimbelladhiy    Thursday, January 28, 2010 11:01:16   
 
Wafilipino wenzetu nyoronyoro wanaweza kushake shake, sasa ndugu yangu wafungwa wa bongo hasa wa pale segedansi wanaweza kweli kujikunja??? gwera+ugali mbichi+dona+makande+mamung'unya............=???? (jaza hapa)
 
 
       Jumla kuna maoni (11), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za burudani
> VIDEO - Si Uchawi ni Mazoezi tu..
> 'Wanamuziki wa Bongo Flava Tungeni Nyimbo zenye Ujumbe'
> 'Miss Kibonge' Apatikana Italia
> Lundega: Miss Tanzania mwaka huu balaa
> Fella Ageukia Qaswida
> Mwisho Arudi kwa Kishindo Big Brother
> Mrembo wa Temeke Apatikana
> Ukimwi na Ushoga Ndani ya Radio Clouds ?
> VIDEO - Chris Brown Adaiwa Kujiliza Jukwaani
> VIDEO - Mtoto Aliyezua Gumzo Kwenye YouTube
> Chris Brown Anyimwa Viza ya Uingereza
> 50 Cent Choka Mbaya, Ukimuona Huwezi Kumtambua
> Burudani Time - Nyama ya Bata
> Mwarabu Kuiwakilisha Marekani Mashindano ya Urembo ya Dunia
> Mrembo Mpya wa IFM Apatikana
> Burudani Time - Angalia Mkuki Usikuchome
> Saleh Kupaza: ‘mchawi’ Aliyepewa Mwana kulea Twanga Pepeta
> 'Nipigie' ya AT Kuingia Sokoni
> Ali Choki na Kupaza Kukumbushia Enzi Zao
> TID na Ali Kiba Nani Mkali Kujulikana Jumapili
> Huku Mvua Ikinyesha, Mzee Yusuf Alamba Alamba Aaaamm...
> VIDEO - 'Tozi wa Mbagala' Kuingia Sokoni Mwezi Ujao
> Nyota wa Bongo Star Search Ajiunga na Mjomba Band
> Kapuya Aweka Uwaziri Pembeni na Kuanza Kupekecha
> Rihanna Amwaga Radhi Kwenye Bethidei Yake

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Namabengo Computer Repairing Services Call: 0762-486583 0r 0712-409641
Habari Zilizosomwa Sana
1 'Yesu Alikuwa ni Muathirika w...
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Ashakum
Habari Mpya Mpya
> 'Yesu Alikuwa ni Muathirika wa Ukimwi'
> PICHA - Mapenzi Yanaua..
> Askofu Awaponda Wanaomtukana Kikwete
> Siri ya Kimada Yafichuka
> Ajinyonga Baada ya Kunyimwa Mkopo
> VIDEO - Mwanaume Anayemchezea Simba Sharubu
> Kampeni zachachamaa, wapinzani nao watoa ahadi
> JK aendelea kutoa ahadi
> Pingamizi la Chadema baada ya siku 5
> Urefu Wasababisha Aache Shule ya Msingi