Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
VIDEO - Vunja Mbavu Kidogo..


Saturday, January 23, 2010 8:20 PM
Pata burudani mwishoni wa wiki kwa kuburudika na video hii ya kuvunja mbavu.
Wataalamu wa afya wanasema kuwa kucheka ni dawa nzuri sana kwa afya ya binadamu.

Kucheka kunaufanya ubongo ufanye kazi ya kufirikia ili uweze kuelewa kichekesho kilichotolewa. Misuli mbali mbali mwilini hutumika wakati wa kucheka. Wengine hucheka sana kiasi cha hata kuanguka chini wakicheka. Hivyo kucheka pia ni mazoezi mazuri kwa misuli ya mwili.

Mwisho kabisa kucheka humfanya mtu azisahau stress zake kwa muda na kuleta mood nzuri.

Kwa mujibu wa takwimu za kisayansi, mtoto anapozaliwa mpaka anafikia umri wa kuanza chekechea hutoa kicheko mara 300 kwa siku. Mtu mzima hucheka wastani wa mara 17 kwa siku.

Hivyo si vibaya ukajenga afya yako kwa kuvunja mbavu kidogo na video hii chini.


VIDEO - Vunja Mbavu Kidogo..





 
    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Ubuguvu    Saturday, January 23, 2010 21:35:46   
 
Mimi mmoja kati ya hao wanasanyansi na nakusibitisha ndugu MOMS016 maana wewe ukimuona mtu anacheka karogwa lakini wadau mimi leo sita weza kuiona hii video sababu Laptop yangu nimebadilisha window sasa prayer zote zimefutika nitaiona hapo badae wadau wote wa nifahamishe.com kesho sitakuepo kutokana na majukumu MKALIWAM usiponiona usizani nipo zenji hakuna umeme isha allah tutakua wote j3 KING kucheka ni sehemu ya mazoezi ndiyo maana MINA anacheka katika comment mmh! Pilly alikua hajui kama kucheka kunajenga afya NAUTI K cheka kidogo
 
 
Mtoa Maoni: Msema Kweli    Saturday, January 23, 2010 21:41:01   
 
Mi nilikuwa nadhania ubuguvu hujui kiswahili vizuri ndio maana unachapia kumbe hata kiingereza hakipandi sasa prayer zimefutika ndio unataka kumaanisha nini au "player zimefutika"
 
 
Mtoa Maoni: Semenya    Saturday, January 23, 2010 22:47:47   
 
Hahaaaaa!!!!!! Dunia ina mambo!! jamani kila binadamu si ana accent au? @msema kweli mbona hujamkosoa Bhai na kiswahili chake cha BOMBEY? mm mwenyewe sijui hy prayer ni nn lakini atatuelezea tu mwenyewe hy j3 laptop yake ikishakua barabara.

Kuhusu huko kucheka sasa si mpaka upate lakukuchekesha au utajichekea ovyo tu coz ni nzuri kwa afya?

Haya wanasayansi tuko pamoja.

 
 
Mtoa Maoni: Nautiakasi    Sunday, January 24, 2010 01:19:39   
 
Habari zenu waungwana, nlikuwa likizo na nlikokwenda hakuna umeme, mpaka 20 february 2010 inshaallah! Namshkuru mungu nimerudi salama na nimewakuta wana nifahamishe wote mko salama! Mungu awape afya njema, na mafanikio katika mwaka huu 2010!
 
 
Mtoa Maoni: Cinderella    Sunday, January 24, 2010 01:25:53   
 
Wanene kumbe nao wamo!!!!!!!!!! maana hIcho kiuno anavyoweza kukizungusha si mchezo!! LOL
 
 
       Jumla kuna maoni (10), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za burudani
> VIDEO - Si Uchawi ni Mazoezi tu..
> 'Wanamuziki wa Bongo Flava Tungeni Nyimbo zenye Ujumbe'
> 'Miss Kibonge' Apatikana Italia
> Lundega: Miss Tanzania mwaka huu balaa
> Fella Ageukia Qaswida
> Mwisho Arudi kwa Kishindo Big Brother
> Mrembo wa Temeke Apatikana
> Ukimwi na Ushoga Ndani ya Radio Clouds ?
> VIDEO - Chris Brown Adaiwa Kujiliza Jukwaani
> VIDEO - Mtoto Aliyezua Gumzo Kwenye YouTube
> Chris Brown Anyimwa Viza ya Uingereza
> 50 Cent Choka Mbaya, Ukimuona Huwezi Kumtambua
> Burudani Time - Nyama ya Bata
> Mwarabu Kuiwakilisha Marekani Mashindano ya Urembo ya Dunia
> Mrembo Mpya wa IFM Apatikana
> Burudani Time - Angalia Mkuki Usikuchome
> Saleh Kupaza: ‘mchawi’ Aliyepewa Mwana kulea Twanga Pepeta
> 'Nipigie' ya AT Kuingia Sokoni
> Ali Choki na Kupaza Kukumbushia Enzi Zao
> TID na Ali Kiba Nani Mkali Kujulikana Jumapili
> Huku Mvua Ikinyesha, Mzee Yusuf Alamba Alamba Aaaamm...
> VIDEO - 'Tozi wa Mbagala' Kuingia Sokoni Mwezi Ujao
> Nyota wa Bongo Star Search Ajiunga na Mjomba Band
> Kapuya Aweka Uwaziri Pembeni na Kuanza Kupekecha
> Rihanna Amwaga Radhi Kwenye Bethidei Yake

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
1 Kanisa Lasisitiza Kuchoma Mot...
2 VIDEO - Simba Alipomgeuza Asu...
3 Kelele za Kimahaba Zamponza
4 Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nch...
5 Kesi ya Rama yahamishiwa Maha...
6 Wanawake tumieni fursra hii
7 Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa...
8 Hatimaye Kanisa Laahirisha Ku...
9 Viagra Ya Saudi Arabia Yazua ...
10 VIDEO ya Salamu za EID MUBARA...
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Duh pole sana
Habari Mpya Mpya
> VIDEO ya Salamu za EID MUBARAK Toka Nifahamishe.Com
> Hatimaye Kanisa Laahirisha Kuchoma Moto Quran
> Viagra Ya Saudi Arabia Yazua Mzozo
> Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nchini Kwa Lugha Chafu
> Kesi ya Rama yahamishiwa Mahakama Kuu
> Wanawake tumieni fursra hii
> Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa mitihani, Songea, Mwanza
> Kanisa Lasisitiza Kuchoma Moto Quran Jumamosi
> Kelele za Kimahaba Zamponza
> VIDEO - Simba Alipomgeuza Asusa Mkufunzi Wake