|
|
|
Nyota wa Marekani Atumia Viagra Kuinusuru Ndoa Yake |

Michael Douglas akiwa na mkewe Catherine Zeta-Jones |
Saturday, January 23, 2010 1:58 AM
Nyota wa sinema za kimarekani Michael Douglas mwenye umri wa miaka 65 amekiri kutumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume VIAGRA ili asikimbiwe na mkewe kijana. |
Nyota wa Hollywood, Michael Douglas mwenye umri wa miaka 65 amekiri kutumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume ili kuongeza ufanisi wake kitandani kukabiliana na mkewe kijana ambaye amemzidi miaka 25.
Douglas amekiri kutumia Viagra na Cialis kuongeza nguvu zake za kiume ili kuweza kumtimizia haja zake mkewe Catherine Zeta-Jones.
"Nashukuru Mungu anapenda wanaume waliokula chumvi nyingi", alisema Douglas.
Douglas alizimwagia sifa Viagra kuwa zimewafanya wazee wawe na nguvu kama vijana.
Douglas alifunga ndoa na Catherine miaka 10 iliyopita na wamefanikiwa kupata watoto wawili. |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Mtoa Maoni:
mwacheni
Saturday, January 23, 2010 02:21:23
|
|
Mtoa Maoni:
Semenya
Saturday, January 23, 2010 03:56:48
|
|
Mtoa Maoni:
mdau
Saturday, January 23, 2010 05:52:50
|
|
Mtoa Maoni:
Ubuguvu
Saturday, January 23, 2010 11:12:40
|
|
Mtoa Maoni:
Dilly
Saturday, January 23, 2010 15:17:27
|
|
|
|
|
|
Jumla kuna maoni (7), Soma maoni yote |
|
|
|
|
|
|
|
Habari zaidi za burudani |
...Habari Zaidi
|
|
Advertisements

|
|
Habari Zilizosomwa Sana |
|
|
|
|
| Photo Gallery |
 |
|
|
 |
|
|
|
|
|
|
|