Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Mama Afanya Mapenzi Mara 200 na Mtoto wa Miaka 12


Angela Sullivan
Wednesday, January 20, 2010 6:38 AM
Mama mmoja nchini Uingereza alifanya mapenzi mara 200 na mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 12 na alikuwa akiweka alama kwenye daftari lake kila alipomaliza kufanya naye mapenzi.
Angela Sullivan mwenye umri wa miaka 36 anakabiliwa na kifungo cha miaka mingi sana jela kwa kufanya mapenzi takribani mara 200 na mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 12 .

Angela alikuwa akiweka alama ya nyota katika daftari lake kila anapomaliza kufanya mapenzi na mtoto huyo.

Katika kipindi cha miezi 10 cha uhusiano wa Angela na mtoto huyo, daftari lake lilikutwa likiwa na alama za nyota 191 kuonyesha siku walizofanya mapenzi.

Taarifa zaidi zilisema kwamba Angela alimnunulia zawadi ya viatu mtoto huyo baada ya kufanya naye mapenzi kwa mara ya 100.

Mahakama iliambiwa kuwa Angela alianza uhusiano na mtoto huyo kwa kumlewesha pombe na kisha kuzichezea sehemu zake za siri.

Hatimaye walianza uhusiano wa kimapenzi ambao ulidumu kwa miezi 10 hadi uhusiano wao ulipogundulika kufuatia uvumi kwenye shule ya mtoto huyo kuwa Angela amepata ujauzito.

Wapelelezi waligundua pia kuwa mtoto huyo ambaye hakutajwa jina lake kwasababu za kisheria, alikuwa akijigamba kwa rafiki zake kwenye internet kuhusiana na uhusiano wake wa kimapenzi na Angela.

Mahakama iliambiwa kuwa Angela alikuwa akifanya mapenzi na mtoto huyo kwenye nyumba yake katika mji wa Middlesbrough na kabla ya kuwasili kwa mtoto huyo alikuwa akimpeleka kwa bibi yake mtoto wake pekee wa kiume aliyekuwa akiishi naye.

Alipotiwa mbaroni, Angela alikanusha kufanya mapenzi na mtoto huyo lakini alishindwa kuelezea vizuri alama katika daftari lake ambazo ziliambatana na maneno kama vile "Angela anampenda ..[jina la mtoto huyo]..".

Alipofikishwa mahakamani jana, Angela alikiri makosa yake ya kufanya mapenzi na mtoto na alifunguliwa mashtaka 10, kosa moja kwa kila mwezi mmoja wa uhusiano wake na mtoto wake.

Kesi yake imeahirishwa hadi mwezi ujao huku Angela akirudishwa rumande wakati uchunguzi ukiendelea.

Angela huenda akatupwa jela maisha ili kunusuru maisha yake kutokana na hasira za wananchi.

Madirisha ya vioo vya nyumba yake yalivunjwa kwa mawe tangia siku alipotiwa mbaroni.

 
Source: Daily Mail    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: mAMUSCA    Wednesday, January 20, 2010 07:53:08   
 
huyu mama atakua ni mwendawazimu kiasi flani.mtoto mwenye umri mdogo mara 3 yake raha gani alokua akiipata,upuuzi huuu hadi lini.
 
 
Mtoa Maoni: DeClarkes    Wednesday, January 20, 2010 08:39:43   
 
Hii ni hatari kwa mama wa miaka 36 kufanya ngono na mtoto wa miaka 12 mara 200 kwa kipindi cha mahusiano cha miezi tisa tuu. Huu ni wastani wa kufanya mapenzi mara 6 kwa wiki; yaani kila siku isipokuwa siku moja tuu. Hatari ni frequency ya kufanya mapenzi, ya pili age variations nay a nne ni kwa nini alikuwa anaweka alama! Na alipofikia mara 100 akatoa zawadi ya viatu!
 
 
Mtoa Maoni: Dilly    Wednesday, January 20, 2010 09:12:50   
 
Nakwambia dunia imeisha. @ Mina jitahidi kwenda kuswali hata kama mara 1 kwa mwezi ili maswahibu haya yasikukute.

Kila mmoja asimame kwa miguu yake ang'ang'ane kwa Mungu la sivyo naye yatamkuta haya mambo ya kihayawani yasiyompendeza Mungu.

 
 
Mtoa Maoni: Chuma    Wednesday, January 20, 2010 09:20:10   
 
Aliyokuwa na shape kama hiyo nchi zingine ni vigumu kupata dume hata akilala disco. Pili dunia imekwisha, waziwazi gays na lesbians nchi hizo. Nyege mbaya,afanye nini?
 
 
Mtoa Maoni: mkaliwam    Wednesday, January 20, 2010 09:21:10   
 
Sasa huyu mama ina maana hajaona saizi yake au vp?katotot ka miaka 12 kweli anamridhisha au anamchezea?ila siri anayo mwenyewe,tabia hii sijaipenda kabisa huu ni unyanyasaji wa watoto japo huku kwetu mitoto ndo ingefurahi sana vitu kama ivyo,kila siku ingejuwa ingekuwa inataka tena,UBUGUVUupo kaka?
 
 
       Jumla kuna maoni (20), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
More life style news and articles
> Urefu Wasababisha Aache Shule ya Msingi
> VIDEO - Nywele Zilizokatiwa Bima ya Dola Milioni 1
> Kweli Mapenzi Hayana Umri...
> Mtoto Mnene Kuliko Wote Duniani
> Maisha Yake Yapo Hatarini Iwapo Atalala
> Utamu na Faida za Tende
> Madada Wanne Wazaa Watoto Wanne Ndani ya Siku Nne
> Babu Aota Mmea wa Njegere Kwenye Mapafu
> Akataa Tsh. Milioni 500 Ili Asiolewe
> Auza Bikira Yake Kwa Tsh. Milioni 500
> 'Mwanaume Mjamzito' Kujifungua Mtoto wa Tatu
> Operesheni za Kurudisha Bikira Zawa Dili Uingereza
> Matiti Yapigwa Pasi Ili Kuzuia Watoto Wasibakwe
> Inakuwaje Wanigeria Wakazaa Mtoto Mzungu?
> VIDEO - Apewa Mkong'oto na Kuozeshwa Mke Kinguvu
> Mrembo Mwenye Matiti Makubwa Kuliko Wote Duniani Apigania Maisha Yake
> Mjadala wa Yai na Kuku Kipi Kilianza Wapata Jibu la Kisayansi
> Nyota wa Filamu za Ngono Anapokuwa Mwalimu wa Sekondari..
> Keki ya Bethidei Kutimiza Miaka 130
> VIDEO - Mtoto Azaliwa na Sura Yenye Kinyago China
> Ili Asifariki Analazimika Kula Kila Baada ya Dakika 15
> Afariki Baada ya Kupewa Taarifa ya Kifo Chake
> Watu Wafupi Wako Kwenye Hatari ya Kufa Kwa Magonjwa ya Moyo
> Hatimaye Sio Mungu Tena..
> Baada ya Ajali Mtoto wa Miaka 3 Awa Chapombe na Mvutaji Sigara

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Namabengo Computer Repairing Services Call: 0762-486583 0r 0712-409641
Habari Zilizosomwa Sana
1 'Yesu Alikuwa ni Muathirika w...
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Ashakum
Habari Mpya Mpya
> 'Yesu Alikuwa ni Muathirika wa Ukimwi'
> PICHA - Mapenzi Yanaua..
> Askofu Awaponda Wanaomtukana Kikwete
> Siri ya Kimada Yafichuka
> Ajinyonga Baada ya Kunyimwa Mkopo
> VIDEO - Mwanaume Anayemchezea Simba Sharubu
> Kampeni zachachamaa, wapinzani nao watoa ahadi
> JK aendelea kutoa ahadi
> Pingamizi la Chadema baada ya siku 5
> Urefu Wasababisha Aache Shule ya Msingi