Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
VIDEO - Tolu wa Dunia Alipokutana na Mtu Mfupi wa Dunia


Tolu wa Dunia Sultan Kosen alipokutana na Mtu mfupi kuliko wote duniani He Pingping
Friday, January 15, 2010 8:39 PM
Mtu mrefu kuliko wote duniani na mtu mfupi kuliko wote duniani kwa mara ya kwanza walifanikiwa kukutana mbele ya waandishi wa habari nchini Uturuki. VIDEO ya tukio hilo mwisho wa habari hii.
Wanaume hao wawili wanaoshikilia rekodi za dunia za kitabu cha Guinness, walikutana kwa mara ya kwanza katika ufunguzi wa mashindano ya wazi ya kuvunja rekodi za dunia yaliyofunguliwa nchini Uturuki.

Mturuki Sultan Kosen mwenye umri wa miaka 27 ambaye kwa urefu wake wa mita 2.46 ndiye mtu mrefu kuliko wote duniani alikutana na Mchina He Pingping mwenye umri wa miaka 21 ambaye yeye urefu wake ni sentimeta 74 tu.

"Nilikuwa nikisubiria kwa hamu kukutana na Pingping tangia nilipotambulishwa rasmi kama mtu mrefu kuliko wote duniani, nimefurahi amkuja Uturuki kwenye ufunguzi wa mashindano haya ya Guinness World Records Live,", alisema Kosen.

"Nasubiria kwa hamu kumtembeza auone mji wetu mzuri wa Istanbul".

Mashindano ya The Guinness World Records live yanafanyika katika shopping Mall kubwa kuliko yote barani ulaya la "Forum Istanbul" ambapo wakazi wa Istanbul wanapewa nafasi ya kujitokeza na kujaribu kuandika majina yao kwenye rekodi za dunia.

Baada ya wiki sita katika jiji la Istanbul, mashindano hayo yatahamishiwa katika miji mingine saba ya Uturuki.

Pingping toka China ufupi wake unatokana na ugonjwa unaojulikana kama "Primordial Dwarfism" ambapo kwa mujibu wa baba yake alipozaliwa alikuwa na umbile dogo sana kiasi cha kujaa kwenye viganja vya baba yake.

Kosen kwa upande wake alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa pituitary gigantism ambapo alikuwa na uvimbe uliomsababishia aendelee kukua muda wote, Baada ya operesheni kadhaa za kuuondoa uvimbe huo, Kosen aliacha kukua mwaka 2008.

Mbali ya rekodi ya kuwa mtu mrefu kuliko wote duniani, Kosen pia anashikilia rekodi ya dunia ya kuwa na mikono na miguu mikubwa kuliko watu wote duniani.

Chini ni VIDEO na Picha za tukio la kukutana kwa Tolu wa dunia na mtu mfupi kuliko wote duniani.
  GONGA HAPA KWA PICHA ZA TUKIO LA KUKUTANA NA TOLU WA DUNIA  


VIDEO - Tolu wa Dunia Alipokutana na Mtu Mfupi wa Dunia





 
    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: KIPARA     Friday, January 15, 2010 21:33:42   
 
DUNIANI KUNA MAMBO NA VIJAMBO lakini huyu jamaa toll anapata tabu sana maishani kwa kuwa hakuna daladala hata moja anayoweza ingia hata ndege labda ya cargo air huwa anatembezwa kwa kutumia usafiri wa pickup hata texii zinakataa kumchukua ......haya tena wadau @MOMS016..KING..UBUGUVU..D"CLERS....DILLY NA BHAI nendeni mkabebwe kama watoto na nyie mtiwe kwenye rekodi ya dunia MOMOS016 NASIKIA UNAVAA RAIZONI .....UBUGUVU YEYE KATIA MIGOTI YA BANDIA
 
 
Mtoa Maoni: K    Friday, January 15, 2010 22:52:02   
 
NA KUWA MFUPI KUNA RAHA YAKE KAMA MWANZA BOY YEYE ANAINGIA DUKA LA WATOTO 2 ANAJICHAGULIA VIDUDU KWA BEI POA
 
 
Mtoa Maoni: moms016    Friday, January 15, 2010 23:25:31   
 
@ KIPARA ha ha ha ha... raizoni wapi? yeboyebo!, ndo mambo, yote maisha! labda MINA hajaacha mtindo wa zamani raizoni!
Sasa twambie UBUGUVU upo linene km BHAI au ukoje?
lkn naimani KING hajaacha mapira ya gari km DILLY.

Mungu huumba atakavyo. lkn kunona na kunenepa wkt mwengine inategemea namna ya mtu alivyojiweka. km m2 wa vyepe km DECLAKERS mambo hujipa na km Mgumu utaishia kutamani..

 
 
Mtoa Maoni: Ubuguvu    Saturday, January 16, 2010 01:15:35   
 
Dunia sasa ukiwa mgonjwa unapata zawadi kitalaam hawa wagonjwa ndiyo umewafanya wawe hivi anyway huyu jamaa natamani nimuone kavaa pensi ndiyo niamini kama kweli huu ulefu ni wa kweli huyu hawezi kuingia katika bada chetu (MH Pinda) labda aingie kwa kutambaa MOMS016 wewe chumba kidogo itabidi ajikunje Kipara huyu jamaa tol akienda marekani atagombea na NBA KING mulike TZ huyu mtu mfupi ukitembea nae TZ atalipa nauli nusu wabongo hawatajua kama kijeba MIMA wewe hapo utachagua yupi mlefu mwembamba au mfupi mnene?
 
 
Mtoa Maoni: MIMI    Saturday, January 16, 2010 09:54:01   
 
DUU!huyo jaamaa kazidi ufupi au ni mtoto Ubuvungu hebu vuta picha akivaa nguo za kinyamwezi

 
 
       Jumla kuna maoni (12), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
More life style news and articles
> Urefu Wasababisha Aache Shule ya Msingi
> VIDEO - Nywele Zilizokatiwa Bima ya Dola Milioni 1
> Kweli Mapenzi Hayana Umri...
> Mtoto Mnene Kuliko Wote Duniani
> Maisha Yake Yapo Hatarini Iwapo Atalala
> Utamu na Faida za Tende
> Madada Wanne Wazaa Watoto Wanne Ndani ya Siku Nne
> Babu Aota Mmea wa Njegere Kwenye Mapafu
> Akataa Tsh. Milioni 500 Ili Asiolewe
> Auza Bikira Yake Kwa Tsh. Milioni 500
> 'Mwanaume Mjamzito' Kujifungua Mtoto wa Tatu
> Operesheni za Kurudisha Bikira Zawa Dili Uingereza
> Matiti Yapigwa Pasi Ili Kuzuia Watoto Wasibakwe
> Inakuwaje Wanigeria Wakazaa Mtoto Mzungu?
> VIDEO - Apewa Mkong'oto na Kuozeshwa Mke Kinguvu
> Mrembo Mwenye Matiti Makubwa Kuliko Wote Duniani Apigania Maisha Yake
> Mjadala wa Yai na Kuku Kipi Kilianza Wapata Jibu la Kisayansi
> Nyota wa Filamu za Ngono Anapokuwa Mwalimu wa Sekondari..
> Keki ya Bethidei Kutimiza Miaka 130
> VIDEO - Mtoto Azaliwa na Sura Yenye Kinyago China
> Ili Asifariki Analazimika Kula Kila Baada ya Dakika 15
> Afariki Baada ya Kupewa Taarifa ya Kifo Chake
> Watu Wafupi Wako Kwenye Hatari ya Kufa Kwa Magonjwa ya Moyo
> Hatimaye Sio Mungu Tena..
> Baada ya Ajali Mtoto wa Miaka 3 Awa Chapombe na Mvutaji Sigara

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Namabengo Computer Repairing Services Call: 0762-486583 0r 0712-409641
Habari Zilizosomwa Sana
1 'Yesu Alikuwa ni Muathirika w...
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Ashakum
Habari Mpya Mpya
> 'Yesu Alikuwa ni Muathirika wa Ukimwi'
> PICHA - Mapenzi Yanaua..
> Askofu Awaponda Wanaomtukana Kikwete
> Siri ya Kimada Yafichuka
> Ajinyonga Baada ya Kunyimwa Mkopo
> VIDEO - Mwanaume Anayemchezea Simba Sharubu
> Kampeni zachachamaa, wapinzani nao watoa ahadi
> JK aendelea kutoa ahadi
> Pingamizi la Chadema baada ya siku 5
> Urefu Wasababisha Aache Shule ya Msingi