Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Bendi ya Sikinde Kufungua Matawi Kila Mkoa


Msemaji wa Sikinde Jimmy Chika, akiwa kazini
Tuesday, January 12, 2010 10:12 PM
BENDI ya muziki wa dansi ya Orchestra Mlimani Park inatarajia kufungua matawi yake kila mkoa nchini na baadae itakuwa ikiyatembelea matawi hayo kwa ziara za kimuziki.
Afisa habari wa bendi hiyo Jimmy Chika alisema kwamba maamuzi hayo yamefikiwa na kamati ya utendaji ya bendi hiyo iliyoketi Jumamosi kwa ajili ya kujadili maendeleo ya bendi hiyo kwa mwaka 2010 pamoja na mikakati mipya.

Katika mkakati huo bendi hiyo imo katika mchakato wa kuwasiliana na wapenzi wake wa mikoani ambao pamoja na mambo mengine pia watapatiwa kadi za uanachama na kisha kuelekezwa jinsi ya kuchagua viongozi.

Katibu wa bendi hiyo Hamisi Milambo katika kikao hicho alisema kwamba katika ziara ya bendi hiyo kwenye mikoa ya Mwanza na kisiwani Zanzibar washabiki wao walionyesha ari ya kuunga mkono mpango huo.

Kutokana na mafanikio hayo ya awali Chika aliongeza kuwa baada ya kukamilisha zoezi la kufungua matawi bendi hiyo itaanza ziara ya kutembelea mkoa moja hadi mwingine kwa ajili ya kufungua matawi na pia kufanya maonyesho.

Bendi hiyo hivi sasa inatamba na albam yake ya "Supu umeitia nazi" ambayo ni matunda ya mwimbaji chipukizi Karama Regesu aliyejiunga na bendi hiyo akitokea Msondo ngoma.

 
Na Kalimanzila, Dar    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: moms016    Wednesday, January 13, 2010 03:43:09   
 
Ktk hao washabiki wa Zenji mm cmo, Marehemu MARIJANI 2, msanii wa karne zote. M/Mungu amuhifadhi huko aliko. Mm mpaka leo sijaona na sitoona mfano wake na haitotokezea kwa bara la Afrika.
Nawatakia mafanikio hawa sikinde ngoma ya ukae ingawa tena.. tuko ktk zama za midundo ya Vijana kina MINA/KIPARA/KING.
BHAI hawezi kucheza mnene sana!
UBUGUVU mziki kwake haufai ht kdg!

 
 
Mtoa Maoni: KING    Wednesday, January 13, 2010 18:13:09   
 
Ama kweli MOMS016 umenena................kwanza hawa mi nilidhani bendi ishakufa kitambo kumbe wapo? Haya, kila la heri wana Sikinde ngoma ya ukae.
 
 
Mtoa Maoni: mina    Friday, January 15, 2010 10:15:36   
 
mmh king acha hizo ujue kama ndio waanzzilishi bana acha hizo momso16 tuwasapoti wazee wetu
 
 
      
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za burudani
> VIDEO - Si Uchawi ni Mazoezi tu..
> 'Wanamuziki wa Bongo Flava Tungeni Nyimbo zenye Ujumbe'
> 'Miss Kibonge' Apatikana Italia
> Lundega: Miss Tanzania mwaka huu balaa
> Fella Ageukia Qaswida
> Mwisho Arudi kwa Kishindo Big Brother
> Mrembo wa Temeke Apatikana
> Ukimwi na Ushoga Ndani ya Radio Clouds ?
> VIDEO - Chris Brown Adaiwa Kujiliza Jukwaani
> VIDEO - Mtoto Aliyezua Gumzo Kwenye YouTube
> Chris Brown Anyimwa Viza ya Uingereza
> 50 Cent Choka Mbaya, Ukimuona Huwezi Kumtambua
> Burudani Time - Nyama ya Bata
> Mwarabu Kuiwakilisha Marekani Mashindano ya Urembo ya Dunia
> Mrembo Mpya wa IFM Apatikana
> Burudani Time - Angalia Mkuki Usikuchome
> Saleh Kupaza: ‘mchawi’ Aliyepewa Mwana kulea Twanga Pepeta
> 'Nipigie' ya AT Kuingia Sokoni
> Ali Choki na Kupaza Kukumbushia Enzi Zao
> TID na Ali Kiba Nani Mkali Kujulikana Jumapili
> Huku Mvua Ikinyesha, Mzee Yusuf Alamba Alamba Aaaamm...
> VIDEO - 'Tozi wa Mbagala' Kuingia Sokoni Mwezi Ujao
> Nyota wa Bongo Star Search Ajiunga na Mjomba Band
> Kapuya Aweka Uwaziri Pembeni na Kuanza Kupekecha
> Rihanna Amwaga Radhi Kwenye Bethidei Yake

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
1 Kanisa Lasisitiza Kuchoma Mot...
2 VIDEO - Simba Alipomgeuza Asu...
3 Kelele za Kimahaba Zamponza
4 Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nch...
5 Kesi ya Rama yahamishiwa Maha...
6 Wanawake tumieni fursra hii
7 Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa...
8 Hatimaye Kanisa Laahirisha Ku...
9 Viagra Ya Saudi Arabia Yazua ...
10 VIDEO ya Salamu za EID MUBARA...
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Duh pole sana
Habari Mpya Mpya
> VIDEO ya Salamu za EID MUBARAK Toka Nifahamishe.Com
> Hatimaye Kanisa Laahirisha Kuchoma Moto Quran
> Viagra Ya Saudi Arabia Yazua Mzozo
> Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nchini Kwa Lugha Chafu
> Kesi ya Rama yahamishiwa Mahakama Kuu
> Wanawake tumieni fursra hii
> Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa mitihani, Songea, Mwanza
> Kanisa Lasisitiza Kuchoma Moto Quran Jumamosi
> Kelele za Kimahaba Zamponza
> VIDEO - Simba Alipomgeuza Asusa Mkufunzi Wake