Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Ana Mimba ya Miezi Mitano Lakini Bado Bikira


Tuesday, January 05, 2010 11:31 PM
Msichana mmoja mwenye umri wa miaka 14 wa nchini Uturuki amewashangaza wazazi wake na madaktari baada ya kupimwa na kukutwa ana mimba ya miezi mitano huku ingali bado ni bikira.
Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 14 wa mji wa Aydin nchini Uturuki, alipelekwa hospitali baada ya tumbo lake kuzidi kuwa kubwa huku akilalamika kuwa na maumivu ya tumbo.

Baada ya vipimo vya madaktari ndipo hali ya kushangaza ilipojulikana kuwa msichana huyo ambaye bado ni bikira ana mimba ya miezi mitano.

"Alilalamika kusumbuliwa na maumivu ya tumbo huku tumbo lake likizidi kuwa kubwa ndipo tulipomleta hospitali", alisema mama wa mtoto huyo.

Wakati wazazi wa mtoto aliyetajwa kwa kifupi cha majina yake kama E.T wakiwa kwenye butwaa, daktari aliyemfanyia vipimo vya ujauzito mtoto huyo alitoa taarifa kwa uongozi wa hospitali ambao uliwapa taarifa polisi.

Katika mahojiano na polisi baba wa mtoto huyo aliyetajwa kama S.T alisema kuwa alifanya mapenzi na mkewe katika siku ambazo inasemekana mtoto wake alipata ujauzito.

"Baada ya kumaliza kufanya mapenzi na mama yake, nilijifuta mbegu za kiume kwa kutumia taulo ambalo nililiacha bafuni, inawezekana alilitumia taulo hilo kujifutia kwenye sehemu zake za siri", alisema baba wa mtoto huyo.

Baba huyo alisisitiza kuwa hakuna uwezekano hata kidogo wa mtoto wake kupata ujauzito kwa kufanya mapenzi na mwanaume nje ya nyumba yao kwakuwa mtoto wake bado ni bikira na ubikira wake umethibitishwa na madaktari.

Mtoto E.T anapatiwa matibabu ya kisaikolojia kwenye hospitali kuu ya mji huo.

 
Source: Turkish Newspapers    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: moms016    Wednesday, January 06, 2010 00:30:19   
 
Hbr km hii nimeshawahi kuisoma, ni kweli kesi km hii kutokea na hakuna kisichowezekana ila changamoto ni.
1.Je km baba ikibainika kuwa ni mbegu zake za uzazi, mtt atamuita nani muhusika wa uzazi, je atakuwa babu au baba?

NAUTIA K, 2nakuhitajia hapa! muhimu sn, tafadhali!

 
 
Mtoa Maoni: Cinderella    Wednesday, January 06, 2010 02:42:35   
 
pole sana ewe binti,
Na inakuwaje hasa mambo ya chumbani yakaachwe bafuni? huyu mama alikuwa wapi? hiyo ni kazi ya mama kumshuhulikia mumewe wakishamaliza mambo yao, amfute kwa kitu chochote ambacho kitakuwa ni kwa ajili ya mambo hayo tu, sio hata taulo ya jumla jamala itumike kwa mambo hayo jamani na baada ya hapo hicho kilichotumika kufutia mbegu kikasafishwe, sio kiwekwe ovyoovyo tu, hiyo ni hatari, na huyo baba alikuwa atumie japo magazeti lakini sio taulo analotumia kila mtu uchafu tu

 
 
Mtoa Maoni: Mchafukoge    Wednesday, January 06, 2010 05:04:28   
 
Sina la kusema mdomo umejaa mate sijui niititeje, Duniani kuna mambo humu mhmh!
 
 
Mtoa Maoni: kijoti    Wednesday, January 06, 2010 05:59:30   
 
Mmmmh im speechless kwa kweli hii ni balaa
 
 
Mtoa Maoni: MIMI    Wednesday, January 06, 2010 07:11:10   
 
Mchafukoge mdomo wako usijae mate huo ni UCHAFUKOGE wa huyo mzee.
 
 
       Jumla kuna maoni (24), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
More life style news and articles
> Urefu Wasababisha Aache Shule ya Msingi
> VIDEO - Nywele Zilizokatiwa Bima ya Dola Milioni 1
> Kweli Mapenzi Hayana Umri...
> Mtoto Mnene Kuliko Wote Duniani
> Maisha Yake Yapo Hatarini Iwapo Atalala
> Utamu na Faida za Tende
> Madada Wanne Wazaa Watoto Wanne Ndani ya Siku Nne
> Babu Aota Mmea wa Njegere Kwenye Mapafu
> Akataa Tsh. Milioni 500 Ili Asiolewe
> Auza Bikira Yake Kwa Tsh. Milioni 500
> 'Mwanaume Mjamzito' Kujifungua Mtoto wa Tatu
> Operesheni za Kurudisha Bikira Zawa Dili Uingereza
> Matiti Yapigwa Pasi Ili Kuzuia Watoto Wasibakwe
> Inakuwaje Wanigeria Wakazaa Mtoto Mzungu?
> VIDEO - Apewa Mkong'oto na Kuozeshwa Mke Kinguvu
> Mrembo Mwenye Matiti Makubwa Kuliko Wote Duniani Apigania Maisha Yake
> Mjadala wa Yai na Kuku Kipi Kilianza Wapata Jibu la Kisayansi
> Nyota wa Filamu za Ngono Anapokuwa Mwalimu wa Sekondari..
> Keki ya Bethidei Kutimiza Miaka 130
> VIDEO - Mtoto Azaliwa na Sura Yenye Kinyago China
> Ili Asifariki Analazimika Kula Kila Baada ya Dakika 15
> Afariki Baada ya Kupewa Taarifa ya Kifo Chake
> Watu Wafupi Wako Kwenye Hatari ya Kufa Kwa Magonjwa ya Moyo
> Hatimaye Sio Mungu Tena..
> Baada ya Ajali Mtoto wa Miaka 3 Awa Chapombe na Mvutaji Sigara

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Namabengo Computer Repairing Services Call: 0762-486583 0r 0712-409641
Habari Zilizosomwa Sana
1 'Yesu Alikuwa ni Muathirika w...
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Ashakum
Habari Mpya Mpya
> 'Yesu Alikuwa ni Muathirika wa Ukimwi'
> PICHA - Mapenzi Yanaua..
> Askofu Awaponda Wanaomtukana Kikwete
> Siri ya Kimada Yafichuka
> Ajinyonga Baada ya Kunyimwa Mkopo
> VIDEO - Mwanaume Anayemchezea Simba Sharubu
> Kampeni zachachamaa, wapinzani nao watoa ahadi
> JK aendelea kutoa ahadi
> Pingamizi la Chadema baada ya siku 5
> Urefu Wasababisha Aache Shule ya Msingi