Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Beyonce na Jay-Z Wabadilisha Majina Yao


Beyonce Knowles-Carter
Saturday, December 26, 2009 3:24 AM
Wanamuziki maarufu wa Marekani, Beyonce na Jay-Z ambao wanaendeleza ndoa yao yenye furaha waliyofunga mwaka jana, wameamua kubadilisha majina yao kwa kuyaunganisha majina ya wazazi wao.
Msanii maarufu wa muziki wa Hip Hop, milionea Jay-Z ameafikiana na mkewe Beyonce kubadili majina yao ya pili.

Wanandoa hao ambao wote ni moto wa kuotea mbali katika anga ya muziki duniani, wameamua kutumia jina moja lililopatikana baada ya kuunganisha majina ya wazazi wao.

Kuanzia sasa Jay-Z ambaye jina lake halisi ni Shawn Carter atajulikana kama Shawn Knowles-Carter wakati Beyonce atajulikana kama Beyonce Knowles-Carter.

Hatua ya wanandoa hao kuunganisha majina yao ya pili inatokana na maombi ya familia ya Beyonce ambayo haina mtoto wa kiume wa kuendeleza ukoo kutaka kuliendeleza jina la Knowles kupitia Beyonce.

Hata hivyo mbele ya wapenzi wa muziki Beyonce na Jay-Z wataendelea kutumia majina yao ya kisanii.

 
    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: moms016    Saturday, December 26, 2009 04:01:22   
 
Ya kawaida tu hayo! na tunawaombea kila wana ndoa wabarikiwe na wadumu na ndoa zao. km mdau UBUGUVU ana watoto wawili kwa mke mzungu! sijui anaitwa mama nani?
BHAI hana hata mawazo ya mbali ya kuoa, iko biashara tu..
KING harusi yako nitakutumia ndoo za maji na jenereta!
Mm na KIPARA ni wapambe!

 
 
Mtoa Maoni: KIPARA     Saturday, December 26, 2009 12:20:28   
 
nawapa pongezi kwa kurekebisha umaarufu wao jana mama na baba leo wao....@ MOMS016 mimi nasubiria kama kuna msichana atanioa nitafikiria maana maisha magumu kama mfupa wa kichwa lazima usimame imara kama u.. #$% natuwe na tabasamu kama k#$%&* na tusiwe tunanuna nuna kama m*&^#!
 
 
Mtoa Maoni: sep     Sunday, December 27, 2009 20:57:22   
 
hivi nyie wanamuziki hamna kazi kweli mmeona kubadilisha majina ndio nini sasa.mkitaka mbaalishe majina kwanza zaeni ndio majina yatabadilika mjue hatuna mda wa kuwaaita hayo majina yenu tunatumia ya zamani mkikasilika kwendeni zenu mnaona hamna la kufanya sasa ndio mmetengeneza ujinga wenu
 
 
      
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za burudani
> VIDEO - Si Uchawi ni Mazoezi tu..
> 'Wanamuziki wa Bongo Flava Tungeni Nyimbo zenye Ujumbe'
> 'Miss Kibonge' Apatikana Italia
> Lundega: Miss Tanzania mwaka huu balaa
> Fella Ageukia Qaswida
> Mwisho Arudi kwa Kishindo Big Brother
> Mrembo wa Temeke Apatikana
> Ukimwi na Ushoga Ndani ya Radio Clouds ?
> VIDEO - Chris Brown Adaiwa Kujiliza Jukwaani
> VIDEO - Mtoto Aliyezua Gumzo Kwenye YouTube
> Chris Brown Anyimwa Viza ya Uingereza
> 50 Cent Choka Mbaya, Ukimuona Huwezi Kumtambua
> Burudani Time - Nyama ya Bata
> Mwarabu Kuiwakilisha Marekani Mashindano ya Urembo ya Dunia
> Mrembo Mpya wa IFM Apatikana
> Burudani Time - Angalia Mkuki Usikuchome
> Saleh Kupaza: ‘mchawi’ Aliyepewa Mwana kulea Twanga Pepeta
> 'Nipigie' ya AT Kuingia Sokoni
> Ali Choki na Kupaza Kukumbushia Enzi Zao
> TID na Ali Kiba Nani Mkali Kujulikana Jumapili
> Huku Mvua Ikinyesha, Mzee Yusuf Alamba Alamba Aaaamm...
> VIDEO - 'Tozi wa Mbagala' Kuingia Sokoni Mwezi Ujao
> Nyota wa Bongo Star Search Ajiunga na Mjomba Band
> Kapuya Aweka Uwaziri Pembeni na Kuanza Kupekecha
> Rihanna Amwaga Radhi Kwenye Bethidei Yake

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
1 Kanisa Lasisitiza Kuchoma Mot...
2 VIDEO - Simba Alipomgeuza Asu...
3 Kelele za Kimahaba Zamponza
4 Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nch...
5 Kesi ya Rama yahamishiwa Maha...
6 Wanawake tumieni fursra hii
7 Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa...
8 Hatimaye Kanisa Laahirisha Ku...
9 Viagra Ya Saudi Arabia Yazua ...
10 VIDEO ya Salamu za EID MUBARA...
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Duh pole sana
Habari Mpya Mpya
> VIDEO ya Salamu za EID MUBARAK Toka Nifahamishe.Com
> Hatimaye Kanisa Laahirisha Kuchoma Moto Quran
> Viagra Ya Saudi Arabia Yazua Mzozo
> Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nchini Kwa Lugha Chafu
> Kesi ya Rama yahamishiwa Mahakama Kuu
> Wanawake tumieni fursra hii
> Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa mitihani, Songea, Mwanza
> Kanisa Lasisitiza Kuchoma Moto Quran Jumamosi
> Kelele za Kimahaba Zamponza
> VIDEO - Simba Alipomgeuza Asusa Mkufunzi Wake