Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Miujiza ya Kijana Aliyefariki Yawapagawisha Wengi


George na Lina Tannous wakiwa mbele ya picha ya mtoto wao aliyefariki mwaka juzi
Wednesday, December 23, 2009 12:25 AM
Mamia ya watu wanamiminika kwenye nyumba ya kijana mmoja nchini Australia ambaye muda mfupi baada ya kufariki kuta za nyumba yake zimeanza kutoa mafuta ya ajabu ambayo yanadaiwa kuwatibu watu magonjwa yao.
Wazazi wa kijana Mike Tannous aliyefariki miaka mitatu iliyopita wanadai kuwa kijana wao amechaguliwa na mungu kuwa mtawa wa kwanza wa kiume wa Australia.

Mike alifariki mwezi septemba mwaka 2006 akiwa na umri wa miaka 17 kutokana na ajali ya gari lakini wiki chache baadae kuta za chumba chake zilianza kutoa mafuta ya ajabu ambayo yanadaiwa kuwatibu mamia ya watu magonjwa yao.

Wazazi wake Mike, George na Lina wanaoishi katika kitongoji cha Guildford katika jiji la Sydney wamedai kuwa kijana wao ni mjumbe wa mungu na ameishawatibu watu wengi sana kwa miujiza yake.

Mafuta yanayomiminika kwenye kuta za nyumba yake yamefanyiwa uchunguzi wa kisayansi na wataalamu mbali mbali lakini bado hayajagundulika ni mafuta ya aina gani.

Mamia ya watu wamekuwa wakimiminika kwenye nyumba yao kuyaona na kusali wakiomba yawatibu magonjwa yao.
“Mtoto wetu ni mtawa, anazungumza nasi na anazungumza na watu kwa njia hii”, alisema baba wa kijana huyo.

“Mwaka jana mwanamke mmoja anayeishi karibu na nyumba yetu aliambiwa na madaktari hataweza kupata mtoto wa tatu kwa njia yoyote ile, alikuja hapa na kuanza kusali… mwezi mmoja baadae alirudi na boksi la biskuti akitamba kuwa amepata ujauzito”, alisema shangazi yake Mike, Susan Sawan.

Mamia ya watu wamekuwa wakimiminika kila siku kwenye nyumba hiyo na hivi sasa si kuta za chumba chake pekee zinazovuja mafuta bali kuta zote za nyumba hiyo ya vyumba vitatu mpaka kwenye picha ya Mike ukutani.

“Mwishoni mwa wiki watu huja toka sehemu mbali mbali na kutufanya tufunge mtaa, wanataka kushuhudia miujiza”, alisema baba wa kijana huyo aliyefariki.

Kutokana na habari za miujiza ya tiba ya mafuta ya kuta za nyumba hiyo kusambaa, mamia ya watu kutokana nchi mbali mbali duniani nao wamekuwa wakimiminika Austalia kushuhudia mafuta hayo.

Wazazi wa Mike wamesema kuwa wao hawakusanyi mchango wowote toka kwa watu wanaofika kwenye nyumba yao wanachopenda wao ni kuona watu wakipatiwa tiba kutokana na miujiza ya mtoto wao.

Familia hiyo imekuwa ikiwajibu watu wasioamini wanaotilishia shaka miujiza ya mafuta hayo kwa kuwaambia “Njoo na ushuhudie mwenyewe”.

 
Source: Daily Telegraph Australia    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: mdau    Wednesday, December 23, 2009 01:57:54   
 
ukichelewa kufa utasikia mengi,akili ni nywele kila mtu ana zake.ukiamini haya usiamini haya watutilie kwenye vyupa tujipake tu mana ulimwengu huu asie na maradhi basi ulimwengu umemkaa ju ya kichwa. yote siba.
 
 
Mtoa Maoni: Cinderella    Wednesday, December 23, 2009 04:14:15   
 
huyo ndo Firauni Bilisi!!!! anatafuta kila njia ya kuwapotosha watu, na wenye nyoyo dhaifu ndo hao wanaoamini, leo atatoa mafuta kesho damu kila vitimbi vitaonekanwa!! Allah atunusuru waja wake na kumshirikisha na chochote. Ameen
 
 
Mtoa Maoni: moms016    Wednesday, December 23, 2009 04:15:43   
 
“Njoo na ushuhudie mwenyewe”. Kianzio kizuri! Hapa sioni km ni miujiza wala nn, (mm siamini na siendi kkt, atatuwakilisha UBUGUVU, BHAI keshakamatwa Kongo na yy ndio tajiri wetu hapa).
Kwani mtt wao kabla ya kufariki alikuwa ni mtt wa tabia gani?
Hii ni katika "Amini usiamini"
MWANZABOY lazima aamini (alafu tumem-mic vilevile)




 
 
Mtoa Maoni: Bhai.    Wednesday, December 23, 2009 09:10:24   
 
Cinderella dada yagu zuri pana laumu au kataa MIUJIAZA YA ALLAH SUBHANNA UW TAALLAH, sababu fikiri ii mtu kufa sio Muslims? wewe iko jua vipi sio Muslims? Au sababu iko Zungu? au Zee yake sio Muslims? ALLAH SUBHANNA UWA TAALLAH chagua ile nataka, Toto iko kufa nayo maka 17, iko jua rafiki au tabia yake iko nini?
Soma ajabu ya Islam dawa, MIRACLE OF ISLAMIC MEDICINE:
Al Qur'an The Miracle of Miracles
By Ahmed Deedat

"Say: If the whole of mankind and jinn's were to gather togeth
they c

 
 
Mtoa Maoni: Bhai.    Wednesday, December 23, 2009 09:16:31   
 
Self-Evident Proof
Again and again when miracles are demanded from the prophet of God by the cynical and frivolous few, he is made to point to the Qur'an - message from high - as 'the miracle.' The miracle or miracles! And men of wisdom, people with literary and spiritual insight, who were honest enough to themselves, recognised and accepted al-qur`an as an a genuine miracle.
Says the holy Qur'an:
"Nay here are signs self-evident in the hearts of those endowed with knowledge:And none but

 
 
       Jumla kuna maoni (18), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
More life style news and articles
> Kelele za Kimahaba Zamponza
> Urefu Wasababisha Aache Shule ya Msingi
> VIDEO - Nywele Zilizokatiwa Bima ya Dola Milioni 1
> Kweli Mapenzi Hayana Umri...
> Mtoto Mnene Kuliko Wote Duniani
> Maisha Yake Yapo Hatarini Iwapo Atalala
> Utamu na Faida za Tende
> Madada Wanne Wazaa Watoto Wanne Ndani ya Siku Nne
> Babu Aota Mmea wa Njegere Kwenye Mapafu
> Akataa Tsh. Milioni 500 Ili Asiolewe
> Auza Bikira Yake Kwa Tsh. Milioni 500
> 'Mwanaume Mjamzito' Kujifungua Mtoto wa Tatu
> Operesheni za Kurudisha Bikira Zawa Dili Uingereza
> Matiti Yapigwa Pasi Ili Kuzuia Watoto Wasibakwe
> Inakuwaje Wanigeria Wakazaa Mtoto Mzungu?
> VIDEO - Apewa Mkong'oto na Kuozeshwa Mke Kinguvu
> Mrembo Mwenye Matiti Makubwa Kuliko Wote Duniani Apigania Maisha Yake
> Mjadala wa Yai na Kuku Kipi Kilianza Wapata Jibu la Kisayansi
> Nyota wa Filamu za Ngono Anapokuwa Mwalimu wa Sekondari..
> Keki ya Bethidei Kutimiza Miaka 130
> VIDEO - Mtoto Azaliwa na Sura Yenye Kinyago China
> Ili Asifariki Analazimika Kula Kila Baada ya Dakika 15
> Afariki Baada ya Kupewa Taarifa ya Kifo Chake
> Watu Wafupi Wako Kwenye Hatari ya Kufa Kwa Magonjwa ya Moyo
> Hatimaye Sio Mungu Tena..

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Namabengo Computer Repairing Services Call: 0762-486583 0r 0712-409641
Habari Zilizosomwa Sana
1 Kanisa Lasisitiza Kuchoma Mot...
2 VIDEO - Simba Alipomgeuza Asu...
3 Kelele za Kimahaba Zamponza
4 Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nch...
5 Kesi ya Rama yahamishiwa Maha...
6 Wanawake tumieni fursra hii
7 Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa...
8 Hatimaye Kanisa Laahirisha Ku...
9 Viagra Ya Saudi Arabia Yazua ...
10 VIDEO ya Salamu za EID MUBARA...
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Duh pole sana
Habari Mpya Mpya
> VIDEO ya Salamu za EID MUBARAK Toka Nifahamishe.Com
> Hatimaye Kanisa Laahirisha Kuchoma Moto Quran
> Viagra Ya Saudi Arabia Yazua Mzozo
> Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nchini Kwa Lugha Chafu
> Kesi ya Rama yahamishiwa Mahakama Kuu
> Wanawake tumieni fursra hii
> Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa mitihani, Songea, Mwanza
> Kanisa Lasisitiza Kuchoma Moto Quran Jumamosi
> Kelele za Kimahaba Zamponza
> VIDEO - Simba Alipomgeuza Asusa Mkufunzi Wake