Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Ajali Yasababisha Awe na Hamu ya Mapenzi Wakati Wote


Joleen Baughman
Thursday, December 17, 2009 4:27 AM
Mwanamke mmoja wa nchini Marekani maisha yake yamebadilika baada ya kupata ajali ambayo imesababisha awe na hamu ya kufanya mapenzi muda wote. Msuguano wa nguo na mwili wake husababisha awe kwenye kilele cha mapenzi bila hata kuguswa na mwanaume yoyote.
Kutokana na ajali ya gari ambayo ilisababisha madhara kwenye mishipa ya fahamu inayokatiza kwenye nyonga yake, Joleen Baughman mwenye umri wa miaka 39 amekuwa akikabiliwa na hali ambayo humtesa masaa 24 ya kila siku.

Ajali hiyo iliyotokea miaka miwili iliyopita, ilisababisha mshipa wa fahamu uliopo kwenye nyonga ambao husimamia matamanio ya kimapenzi ya binadamu uwe kama umeachiliwa kufanya kazi muda wote.

Wakati wote Joleen hutamani kufanya mapenzi bila hata kutosheka.

Kutokana na hali hiyo, kitendo cha kukaa kwenye kiti, kuinama na hata kutembea ndani ya chumba chake husababisha mambo yawe si mambo kwenye nyeti zake bila hata kuguswa na mtu yoyote sehemu hizo.

Joleen ambaye ni mama wa watoto wawili mkazi wa New Mexico, Marekani alisema "Ni hali ambayo nashindwa kujizuia, hata msuguano wa nguo nilizovaa na mwili wangu husababisha niwe kwenye hamu kubwa sana ya kufanya mapenzi".

Joleen ambaye anaishi na mumewe Brian, 39, na watoto wao wawili anakabiliwa na ugonjwa unaowapata watu wachache sana unaoitwa "Restless Genital Syndrome".

Joleen alipata ajali mwezi aprili mwaka 2007 wakati alipokuwa kwenye gari na mumewe na gari lao kugongana uso kwa uso na gari la mwanaume aliyekuwa amelewa madawa ya kulevya.

Joleen alilazwa hospitali wiki kadhaa baada ya kufanyiwa operesheni ya ubongo na uti wake wa mgongo ambao nao ulivunjika katika ajali hiyo.

Alipona taratibu na kuruhusiwa kurudi nyumbani kwake lakini baada ya miezi sita madhara ya ajali hiyo yalianza kujitokeza.

Joleen ambaye awali alikuwa sio mpenzi sana wa kufanya mapenzi, alianza kushikwa na hamu ya ajabu ya ngono muda wote.

Awali yeye na mumewe wa ndoa ya miaka 20 walifurahia hali hiyo kwa kuwa mumewe alikuwa akipenda sana kufanya tendo la ndoa.

"Brian alikuwa na furaha kwamba kwa mara ya kwanza katika ndoa yetu mimi ndio nalazimisha kufanya mapenzi muda wote", alisema Joleen.

"Ndani ya siku moja kwa mfano tungefanya mara ya kwanza, tuliporudia mara ya pili ndio kwanza hamu yangu ya kimapenzi huanza kuongezeka, tunapoenda raundi ya tatu huwa nahisi maumivu lakini nakuwa na hamu kuliko mwanzo".

Baada ya kugundua kuwa kufanya mapenzi mara nyingi hakutatibu tatizo lake, Joleen alianza kutafuta tiba ya tatizo lake.

Alikata tamaa baada ya madaktari kumwambia kuwa tatizo lake si la kisaikolojia bali linatokana na mshipa wa fahamu unaoitwa pudendal uliopo kwenye nyonga karibu na sehemu za siri.

Kutokana na ugonjwa huo kutokuwa na tiba maalumu, Joleen bado anaendelea kusumbuliwa na tatizo hilo hadi leo.

 
    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Malu    Thursday, December 17, 2009 07:59:27   
 
Makubwaaa!!! Bora huyo mwanamke kaweka wazi jinsi wanawake wengi wanavyopata hamu ya mapenzi japo huwa ni siri yao.Just imagine sasa hivi wanawake wanavaa nguo za ndani zinazobana yaani 'tight' .You know why? Wanapata raha sana kwani tight huwatekenya sehemu ambayo huamsha nyenge inayoitwa "clitoris".Ndo maana kwawanaokeketwa clitoris hukatwa ili kupunguza nyenge kwamwanamke.
 
 
Mtoa Maoni: maumau    Thursday, December 17, 2009 08:43:10   
 
hio kali ya mwaka,pole sana mdada wa watu jamaa yako ndio anafaidi ile mbaya mana kila akiludi kazini ni dozi kama maji ya kunywa
 
 
Mtoa Maoni: DeClarkes    Thursday, December 17, 2009 08:44:31   
 
Hayo ni makubwa, nampa pole sana Joleen Baughman kwa kuugua ugonjwa ambao katika hali hii ya ukimwi haufai kabisa. Kwa maana hata kama huyo mwanamme ni kijogoo sidhani kama anaweza kupiga mabao zaidi ya matatu kila siku. Hivyo itampa tempation aende akahudumiwe nnje. Namshauri Joleen Baughman aendelee na tiba na ikiwezekana auondoe kabisa huo mshipa wa unamsumbua kupenda ngono.
 
 
Mtoa Maoni: KING    Thursday, December 17, 2009 09:10:48   
 
Naaaam MALU, hakika haya ni makubwa haswaaa! Yaaani kila sekunde na kila dakika anajihisi 'kukunwa', dah mbaya kuliko hii. Kwa kweli hiyo ajali imemtenda visivyo, POLE SANA BI. JOLEEN ila dah Bw. BRIAN kaz anayo kweli manake hiyo ni zaidi ya kazi ya ziada. UBUGUVUUUUUUU jukumu hilo mdau kumsaidia Bw. BRIAN, hapo 'mkipita' na BHAI aaaah mambo shwaaaari kwa Bi. JOLEEN! Kaz kweli kweli.
 
 
Mtoa Maoni: cris    Thursday, December 17, 2009 09:41:02   
 
Duh iyo kali ya mwaka brian namuonea uruma coz anakazi kubwa sana kumrizisha mke wake ata kama utakuwa kijogoo vp apo lazoma ukae kwasababu kila utakapo mchapa nao joleen ndio anazidi kupandwa na hamu. duh apo lazima atafute njia nyingine mbadala ya kumlizisha mke wake ikiwezekana amnunulie toiz awe anamaliza aja zeke ikiwa kama brian amechoka bila ivyo atakuwa anakula na wasela sahani moja
 
 
       Jumla kuna maoni (19), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
More life style news and articles
> Kelele za Kimahaba Zamponza
> Urefu Wasababisha Aache Shule ya Msingi
> VIDEO - Nywele Zilizokatiwa Bima ya Dola Milioni 1
> Kweli Mapenzi Hayana Umri...
> Mtoto Mnene Kuliko Wote Duniani
> Maisha Yake Yapo Hatarini Iwapo Atalala
> Utamu na Faida za Tende
> Madada Wanne Wazaa Watoto Wanne Ndani ya Siku Nne
> Babu Aota Mmea wa Njegere Kwenye Mapafu
> Akataa Tsh. Milioni 500 Ili Asiolewe
> Auza Bikira Yake Kwa Tsh. Milioni 500
> 'Mwanaume Mjamzito' Kujifungua Mtoto wa Tatu
> Operesheni za Kurudisha Bikira Zawa Dili Uingereza
> Matiti Yapigwa Pasi Ili Kuzuia Watoto Wasibakwe
> Inakuwaje Wanigeria Wakazaa Mtoto Mzungu?
> VIDEO - Apewa Mkong'oto na Kuozeshwa Mke Kinguvu
> Mrembo Mwenye Matiti Makubwa Kuliko Wote Duniani Apigania Maisha Yake
> Mjadala wa Yai na Kuku Kipi Kilianza Wapata Jibu la Kisayansi
> Nyota wa Filamu za Ngono Anapokuwa Mwalimu wa Sekondari..
> Keki ya Bethidei Kutimiza Miaka 130
> VIDEO - Mtoto Azaliwa na Sura Yenye Kinyago China
> Ili Asifariki Analazimika Kula Kila Baada ya Dakika 15
> Afariki Baada ya Kupewa Taarifa ya Kifo Chake
> Watu Wafupi Wako Kwenye Hatari ya Kufa Kwa Magonjwa ya Moyo
> Hatimaye Sio Mungu Tena..

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
1 Kanisa Lasisitiza Kuchoma Mot...
2 VIDEO - Simba Alipomgeuza Asu...
3 Kelele za Kimahaba Zamponza
4 Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nch...
5 Kesi ya Rama yahamishiwa Maha...
6 Wanawake tumieni fursra hii
7 Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa...
8 Hatimaye Kanisa Laahirisha Ku...
9 Viagra Ya Saudi Arabia Yazua ...
10 VIDEO ya Salamu za EID MUBARA...
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Duh pole sana
Habari Mpya Mpya
> VIDEO ya Salamu za EID MUBARAK Toka Nifahamishe.Com
> Hatimaye Kanisa Laahirisha Kuchoma Moto Quran
> Viagra Ya Saudi Arabia Yazua Mzozo
> Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nchini Kwa Lugha Chafu
> Kesi ya Rama yahamishiwa Mahakama Kuu
> Wanawake tumieni fursra hii
> Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa mitihani, Songea, Mwanza
> Kanisa Lasisitiza Kuchoma Moto Quran Jumamosi
> Kelele za Kimahaba Zamponza
> VIDEO - Simba Alipomgeuza Asusa Mkufunzi Wake