Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Mama Mdogo Kuliko Wote Duniani Ajifungua Mtoto wa Tatu


Stacey Herald akiwa na mtoto wake wa tatu aliyejifungua salama pamoja na madaktari kumuonya kuwa anaweza kupoteza maisha yake
Tuesday, December 08, 2009 3:08 AM
Stacey Herald,Mama mwenye umbile dogo kuliko wote duniani amejifungua salama mtoto wa tatu pamoja na kwamba madaktari walimuonya kuwa angeweza kupoteza maisha yake kutokana na ukubwa wa tumbo lake ambalo lilimfanya ashindwe kutembea.
Mama mwenye umbile dogo kuliko wote duniani ambaye ana urefu wa sentimeta 71 tu, amejifungua salama mtoto wa tatu wa kiume pamoja na kwamba kulikuwa na hofu ujauzito wake ungeweza kusababisha apoteze maisha.

Stacey Herald, mkazi wa Kentucky nchini Marekani amejifungua mtoto wa kiume mwenye uzito wa kilo 1.2 ambaye amempa jina la Malachi.

Stacey mwenye umri wa miaka 35, ana watoto wawili wa kike aliozaa na mumewe Will mwenye umri wa miaka 27.

Stacey alipingana na ushauri wa madaktari kwa mara ya tatu ndani ya miaka mitatu kwa kuzaa watoto watatu ingawa madaktari walimuonya kuwa ujauzito ni hatari kwa afya yake.

Mtoto wake watatu alizaliwa wiki iliyopita kabla ya muda wake akiwa na wiki 32 tu tumboni baada ya madaktari kuona kuwa kwa jinsi tumbo la Stacey lilivyozidi kuwa kubwa, viungo vyake vya ndani vingeweza kupasuka.

Stacey ameruhusiwa kurudi nyumbani kwake ingawa mtoto wake ataendelea kubakia hospitali akipatiwa matibabu zaidi.

Stacey anasumbuliwa na ugonjwa unaoitwa Osteogenesis Imperfecta, ambao husababisha mifupa kuwa dhaifu yenye kuvunjika kirahisi, mapafu dhoofu na ugonjwa huo umemsababishia asirefuke.

Mumewe ana urefu wa mita 1.71 na watoto wao wawili hivi sasa wameisharefuka kuzidi urefu wa mama yao.

Mtoto wake wa kwanza Kateri alizaliwa mwaka 2006 akiwa na urefu nusu ya urefu wa mama yake kwa bahati mbaya alirithi ugonjwa wa mama yake kwahiyo naye pia hatarefuka atakuwa kama mama yake.
  GONGA HAPA KWA PICHA ZA STACEY NA FAMILIA YAKE  

 
    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: kakaman    Tuesday, December 08, 2009 09:17:40   
 
da bahati yake sana,namshauri aendelee kuijaza dunia
 
 
Mtoa Maoni: Ubuguvu    Tuesday, December 08, 2009 10:01:58   
 
Nakupa pongezi mama mtoto bibi Stacey Herald kwa kujifunpgua salama wasilimini na nakupa pole sana maana ninavyo fahamu mimi mtu akiwa mfupi basi hata nyayo na viganja vyake vinakua vidogo na viungo vya..... pia vitakua vidogo. Hawa Madaktari wanakua wanbahatisha ila mara nyingi wanapatia, nakumbuka kabla Michael Kearney hajazaliwa madaktari waliwatahadhilisha wazazi wake kwamba wenda atakua mzito kufahamu (learning difficulties) baada ya kuzaliwa kawa anafahamu kuliko madaktari angalia Child Prodigies. Moms016 nisalimie KING Bhai 2nawamic
 
 
Mtoa Maoni: moms016    Tuesday, December 08, 2009 16:53:32   
 
Uhai na umauti vipo mikononi wa Allah pekee, pekee ndie atoae na na kwake ndiO kwenye marudio. Sikusudii km kuna kifo! ila tu utabiri wa madaktari haupingwi kwa kuwa wanaongea kwa mujibu wa ukubwa wa elimu zao. Lkn wkt huohuo kuna aliye mjuzi wa wajuzi Allahu taala, kwani ww unataka na YEYE anataka na haliwi ila atakalo, hivyo fanya atakacho ili upate utakalo, na haliwi isipokuwa atakalo si utakavyo upendavyo.
BHAI 2nakuomba urudi likizo Bombey.
KING jahazi linazama hukuu!
KIPARA sema!

 
 
Mtoa Maoni: wilson    Tuesday, December 08, 2009 19:21:53   
 
Siku zote Mungu ni Mungu kwani yeye aweza kufanya yale ambayo wanadumu hawawezi hivyo ndiye aliyefanya kwa huyo mama kwa hali hiyo wewe kama haujaamini amini kwamba yeye anaweza yote hakuna asiloliweza bali yote kwake yanawezekana ndiyo maana alimutoa mwanaye wa pekee Yesu ili aaminiye aokoke yeye ndiye hule hule jana leo hata milele yote amina.
 
 
Mtoa Maoni: kadudu    Wednesday, December 09, 2009 09:24:51   
 
Alhamdulilah ndio Dunia ijue Mungu mkubwa kabisa
 
 
       Jumla kuna maoni (6), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
More life style news and articles
> Kelele za Kimahaba Zamponza
> Urefu Wasababisha Aache Shule ya Msingi
> VIDEO - Nywele Zilizokatiwa Bima ya Dola Milioni 1
> Kweli Mapenzi Hayana Umri...
> Mtoto Mnene Kuliko Wote Duniani
> Maisha Yake Yapo Hatarini Iwapo Atalala
> Utamu na Faida za Tende
> Madada Wanne Wazaa Watoto Wanne Ndani ya Siku Nne
> Babu Aota Mmea wa Njegere Kwenye Mapafu
> Akataa Tsh. Milioni 500 Ili Asiolewe
> Auza Bikira Yake Kwa Tsh. Milioni 500
> 'Mwanaume Mjamzito' Kujifungua Mtoto wa Tatu
> Operesheni za Kurudisha Bikira Zawa Dili Uingereza
> Matiti Yapigwa Pasi Ili Kuzuia Watoto Wasibakwe
> Inakuwaje Wanigeria Wakazaa Mtoto Mzungu?
> VIDEO - Apewa Mkong'oto na Kuozeshwa Mke Kinguvu
> Mrembo Mwenye Matiti Makubwa Kuliko Wote Duniani Apigania Maisha Yake
> Mjadala wa Yai na Kuku Kipi Kilianza Wapata Jibu la Kisayansi
> Nyota wa Filamu za Ngono Anapokuwa Mwalimu wa Sekondari..
> Keki ya Bethidei Kutimiza Miaka 130
> VIDEO - Mtoto Azaliwa na Sura Yenye Kinyago China
> Ili Asifariki Analazimika Kula Kila Baada ya Dakika 15
> Afariki Baada ya Kupewa Taarifa ya Kifo Chake
> Watu Wafupi Wako Kwenye Hatari ya Kufa Kwa Magonjwa ya Moyo
> Hatimaye Sio Mungu Tena..

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Namabengo Computer Repairing Services Call: 0762-486583 0r 0712-409641
Habari Zilizosomwa Sana
1 Kanisa Lasisitiza Kuchoma Mot...
2 VIDEO - Simba Alipomgeuza Asu...
3 Kelele za Kimahaba Zamponza
4 Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nch...
5 Kesi ya Rama yahamishiwa Maha...
6 Wanawake tumieni fursra hii
7 Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa...
8 Hatimaye Kanisa Laahirisha Ku...
9 Viagra Ya Saudi Arabia Yazua ...
10 VIDEO ya Salamu za EID MUBARA...
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Duh pole sana
Habari Mpya Mpya
> VIDEO ya Salamu za EID MUBARAK Toka Nifahamishe.Com
> Hatimaye Kanisa Laahirisha Kuchoma Moto Quran
> Viagra Ya Saudi Arabia Yazua Mzozo
> Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nchini Kwa Lugha Chafu
> Kesi ya Rama yahamishiwa Mahakama Kuu
> Wanawake tumieni fursra hii
> Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa mitihani, Songea, Mwanza
> Kanisa Lasisitiza Kuchoma Moto Quran Jumamosi
> Kelele za Kimahaba Zamponza
> VIDEO - Simba Alipomgeuza Asusa Mkufunzi Wake