|
|
|
Miss Burundi Awafunika Warembo toka Afrika Mashariki |

Mrembo toka burundi Bella Daniella Nzigamiye aliyekaa ndiye aliyevikwa taji la Miss East Africa Schengen 2009. |
Wednesday, December 02, 2009 12:37 AM
Mrembo toka Burundi, Bella Daniella Nzigamiye amewafunika warembo wote wa Afrika Mashariki na kufanikiwa kutwaa taji la Mlimbwende wa Afrika Mashariki wa bara la ulaya kwa mwaka 2009. |
Katika mpambano mkali wa warembo toka Afrika Mashariki wanaoishi barani Ulaya, mrembo toka burundi Bella Daniella Nzigamiye alivikwa taji la Miss East Africa Schengen 2009.
Katika usiku huo wa aina yake uliombatana na shoo za nguvu toka kwa wasanii mbali mbali wa muziki wa kizazi kipya, warembo toka Afrika Mashariki walichuana vikali kwa mavazi mbali mbali kuanzia yale ya kitamaduni mpaka ya kuogelea.
Pongezi za dhati inabidi zimuendee Promota CHARLES GADI na kundi zima la G Family ambao ndio waliokuwa na jukumu la kuhakikisha mchakato mzima wa kumtafuta mrembo wa mwaka 2009 unafanyika kwa ufanisi.
Mrembo toka Kenya alishika nafasi ya pili wakati mrembo toka Tanzania aliambulia nafasi ya tatu. |
|
  GONGA HAPA KWA PICHA ZA MISS BURUNDI NA WENZAKE   |
|
|
|
|
|
|
|
|
Mtoa Maoni:
moms016
Wednesday, December 02, 2009 01:29:08
|
|
Mtoa Maoni:
Nautiakasi
Wednesday, December 02, 2009 01:58:57
|
|
Mtoa Maoni:
Bhai.
Wednesday, December 02, 2009 08:11:07
|
|
Mtoa Maoni:
mpaukha
Wednesday, December 02, 2009 08:22:21
|
|
Mtoa Maoni:
mchokozi
Wednesday, December 02, 2009 09:41:38
|
|
|
|
|
|
Jumla kuna maoni (8), Soma maoni yote |
|
|
|
|
|
|
|
Habari zaidi za burudani |
...Habari Zaidi
|
|
Advertisements

|
|
Habari Zilizosomwa Sana |
|
|
|
|
| Photo Gallery |
 |
|
|
 |
|
|
|
|
|
|
|