Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Warembo wa East Africa Kuchuana kesho Uholanzi, Ray C kupagawisha


Miongoni mwa mamiss watakaochuana kesho
Friday, November 27, 2009 11:36 AM
Patakuwa hapatoshi kesho nchini Uholanzi wakati warembo toka Afrika Mashariki wanaoishi katika nchi za umoja wa ulaya watakapochuana kumtafuta malkia wao.
Maandalizi ya MISS EAST AFRICA SCHENGEN 2009 yamekamilika, kesho jumamosi ya tarehe 28/11/2009 patakuwa hapatoshi nchini Uholanzi kwani pamoja na mashindano hayo ya kumpata mrembo wa Afrika mashariki wa ughaibuni pia kutakuwa na show maalum ambapo msanii maarufu wa Tanzania alie na washabiki wengi Afrika ya mashariki na ulaya RAY C atapagawisha kwa miondoko ya Bongo flava.


Mashindano ya kumtafuta mrembo wa Afrika ya mashariki yatahudhuriwa pia na Mabalozi wa nchi za Afrika mashariki yaani, TANZANIA, KENYA, UGANDA, BURUNDI na RWANDA.

Kwa maelezo zaidi tembelea

www.tnzncommunity.blogspot.com

Gonga link chini kwa picha za baadhi tu ya warembo washiriki wa mashindano hayo.
  GONGA HAPA KWA PICHA ZA WAREMBO HAO  

 
    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Ubuguvu    Friday, November 27, 2009 12:51:45   
 
Hapa mbmgo lazima achukue kama kweli haki itatatendeka maana kiukweli hasa wengi ya wanawake wa afirika wanaoishi majuu niliowai kuaona hakuna hakuna hata taifa moja litakalo shindana na TZ kwa wanawake walimbo mshindi wa mwisho wa bongo kwao ndiyo wa mwanzo
 
 
Mtoa Maoni: Nyoshi    Friday, November 27, 2009 16:21:54   
 
Ubuguvu kuna vitoto vya kihutu usifanye mchezo vinameremeta
 
 
Mtoa Maoni: mchokozi    Sunday, November 29, 2009 08:57:16   
 
dah kuna mashindano ya kuonesha mifupa bob
 
 
Mtoa Maoni: Msema kweli IRL    Sunday, January 24, 2010 20:12:58   
 
DAAH Kina Wakikuyu hao jamani Bomba Kinoma Hao wabongo hawaingii

 
 
      
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za burudani
> VIDEO - Si Uchawi ni Mazoezi tu..
> 'Wanamuziki wa Bongo Flava Tungeni Nyimbo zenye Ujumbe'
> 'Miss Kibonge' Apatikana Italia
> Lundega: Miss Tanzania mwaka huu balaa
> Fella Ageukia Qaswida
> Mwisho Arudi kwa Kishindo Big Brother
> Mrembo wa Temeke Apatikana
> Ukimwi na Ushoga Ndani ya Radio Clouds ?
> VIDEO - Chris Brown Adaiwa Kujiliza Jukwaani
> VIDEO - Mtoto Aliyezua Gumzo Kwenye YouTube
> Chris Brown Anyimwa Viza ya Uingereza
> 50 Cent Choka Mbaya, Ukimuona Huwezi Kumtambua
> Burudani Time - Nyama ya Bata
> Mwarabu Kuiwakilisha Marekani Mashindano ya Urembo ya Dunia
> Mrembo Mpya wa IFM Apatikana
> Burudani Time - Angalia Mkuki Usikuchome
> Saleh Kupaza: ‘mchawi’ Aliyepewa Mwana kulea Twanga Pepeta
> 'Nipigie' ya AT Kuingia Sokoni
> Ali Choki na Kupaza Kukumbushia Enzi Zao
> TID na Ali Kiba Nani Mkali Kujulikana Jumapili
> Huku Mvua Ikinyesha, Mzee Yusuf Alamba Alamba Aaaamm...
> VIDEO - 'Tozi wa Mbagala' Kuingia Sokoni Mwezi Ujao
> Nyota wa Bongo Star Search Ajiunga na Mjomba Band
> Kapuya Aweka Uwaziri Pembeni na Kuanza Kupekecha
> Rihanna Amwaga Radhi Kwenye Bethidei Yake

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
1 Kanisa Lasisitiza Kuchoma Mot...
2 VIDEO - Simba Alipomgeuza Asu...
3 Kelele za Kimahaba Zamponza
4 Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nch...
5 Kesi ya Rama yahamishiwa Maha...
6 Wanawake tumieni fursra hii
7 Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa...
8 Hatimaye Kanisa Laahirisha Ku...
9 Viagra Ya Saudi Arabia Yazua ...
10 VIDEO ya Salamu za EID MUBARA...
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Duh pole sana
Habari Mpya Mpya
> VIDEO ya Salamu za EID MUBARAK Toka Nifahamishe.Com
> Hatimaye Kanisa Laahirisha Kuchoma Moto Quran
> Viagra Ya Saudi Arabia Yazua Mzozo
> Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nchini Kwa Lugha Chafu
> Kesi ya Rama yahamishiwa Mahakama Kuu
> Wanawake tumieni fursra hii
> Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa mitihani, Songea, Mwanza
> Kanisa Lasisitiza Kuchoma Moto Quran Jumamosi
> Kelele za Kimahaba Zamponza
> VIDEO - Simba Alipomgeuza Asusa Mkufunzi Wake