Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Chokoraa Apigwa Stop Twanga Pepeta


Khalid Chokoraa
Friday, November 27, 2009 10:52 AM
RAPA wa bendi ya Twanga International, Khalid Chuma ‘Chokoraa’ amesimamishwa na uongozi wa bendi hiyo kutokana na sababu za kuchochea tabia ya utovu wa nidhamu ndani ya bendi.
Habari za kusimamishwa kwa msanii huyo zilipatikana Jumatano usiku katika ukumbi wa Club Bilicanas ambapo msanii huyo anakabiliwa na shutuma za kuanzisha kundi la Mapacha Wanne ambako wamekuwa wakifanya kazi bila ya kupata idhini kwa mwajiri wao.

Mkurugenzi Mtendaji wa bendi ya hiyo, Asha Baraka, alisema ndani ya ukumbi wa Club Bilicanas kwamba wamefikia hatua hiyo kwakuwa Chokoraa ndiye kinara na tayari uongozi ulimpa onyo la kuacha kuchochea mgomo kwa wasanii wengine ambao ni Charls Gabriel ‘Chalz Baba’ na Kalala Hamza Kalala ‘Kalala Junior’ kutoka African Stars ‘Twanga Pepeta’ na Jose Mara wa FM Academia.

“Huyu Chokoraa sasa amezidi kuwa mtovu wa nidhamu, pia aheshimu mkataba wake wa kazi, hivyo namsimisha hadi hapo tutakapomjadili na atalazimika ajieleze kwa uongozi kwa nini anafanya hivi,” alisema kwa hasira mwana mama huyo.

Alisema wiki iliyopita walimwonya naye akakiri kuacha tabia hiyo ambayo inaelekea kuweka rehani ajira yake Twanga.

Naye shabiki mmoja ambaye hakutaka kutajwa jina lake gazetini alisema kwamba wasanii hao wa Twanga watakuwa wakichuuzwa na Jose Mara wa FM Academia, hivyo wanatakiwa kuwa makini hata kama watakuwa na lengo la kuganga njaa.

Aidha, kundi hilo la wanamuziki wamepanga kujitambulisha rasmi kwenye ukumbi wa Sterio uliopo Kinondoni jijini Dar es Salaa, huku kila mmoja akipanga kuimba wimbo aliofyatua nje ya bendi.

 
Ismail Ally    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: mama naso    Friday, November 27, 2009 15:06:49   
 
huyu chaz baba kama hajapata ruksa ya boss wake atakuwa anajiharibia,atakosa hata kazi ya kubeba spika kwa mwendapole alipoanzia,aje mtaani amuone michael liloko jina lilivyopotea ghafla
 
 
Mtoa Maoni: DeClarkes    Friday, November 27, 2009 18:16:34   
 
Majina bwana, nyie mnafikiriaje mtu anajiita chokoraa! unategemea chokoraa yeyote anatulia! Pole sana asha baraka kwa kufuga machokoraa inabidi uwavumilie! Lakini wewe mama na katabia chako cha kutaka kuliwa uroda nawe kasije kuwa ndio sababu, hao ni vijana lazima wajirushe na saizi yao. Hako katabia chako cha ki- susana nipa hawakawezi!!!Vumilianeni mfanye kazi ya kuburudisha watu
 
 
      
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za burudani
> VIDEO - Si Uchawi ni Mazoezi tu..
> 'Wanamuziki wa Bongo Flava Tungeni Nyimbo zenye Ujumbe'
> 'Miss Kibonge' Apatikana Italia
> Lundega: Miss Tanzania mwaka huu balaa
> Fella Ageukia Qaswida
> Mwisho Arudi kwa Kishindo Big Brother
> Mrembo wa Temeke Apatikana
> Ukimwi na Ushoga Ndani ya Radio Clouds ?
> VIDEO - Chris Brown Adaiwa Kujiliza Jukwaani
> VIDEO - Mtoto Aliyezua Gumzo Kwenye YouTube
> Chris Brown Anyimwa Viza ya Uingereza
> 50 Cent Choka Mbaya, Ukimuona Huwezi Kumtambua
> Burudani Time - Nyama ya Bata
> Mwarabu Kuiwakilisha Marekani Mashindano ya Urembo ya Dunia
> Mrembo Mpya wa IFM Apatikana
> Burudani Time - Angalia Mkuki Usikuchome
> Saleh Kupaza: ‘mchawi’ Aliyepewa Mwana kulea Twanga Pepeta
> 'Nipigie' ya AT Kuingia Sokoni
> Ali Choki na Kupaza Kukumbushia Enzi Zao
> TID na Ali Kiba Nani Mkali Kujulikana Jumapili
> Huku Mvua Ikinyesha, Mzee Yusuf Alamba Alamba Aaaamm...
> VIDEO - 'Tozi wa Mbagala' Kuingia Sokoni Mwezi Ujao
> Nyota wa Bongo Star Search Ajiunga na Mjomba Band
> Kapuya Aweka Uwaziri Pembeni na Kuanza Kupekecha
> Rihanna Amwaga Radhi Kwenye Bethidei Yake

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
1 Kanisa Lasisitiza Kuchoma Mot...
2 VIDEO - Simba Alipomgeuza Asu...
3 Kelele za Kimahaba Zamponza
4 Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nch...
5 Kesi ya Rama yahamishiwa Maha...
6 Wanawake tumieni fursra hii
7 Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa...
8 Hatimaye Kanisa Laahirisha Ku...
9 Viagra Ya Saudi Arabia Yazua ...
10 VIDEO ya Salamu za EID MUBARA...
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Duh pole sana
Habari Mpya Mpya
> VIDEO ya Salamu za EID MUBARAK Toka Nifahamishe.Com
> Hatimaye Kanisa Laahirisha Kuchoma Moto Quran
> Viagra Ya Saudi Arabia Yazua Mzozo
> Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nchini Kwa Lugha Chafu
> Kesi ya Rama yahamishiwa Mahakama Kuu
> Wanawake tumieni fursra hii
> Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa mitihani, Songea, Mwanza
> Kanisa Lasisitiza Kuchoma Moto Quran Jumamosi
> Kelele za Kimahaba Zamponza
> VIDEO - Simba Alipomgeuza Asusa Mkufunzi Wake