Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Rihanna Akanusha Kumhonga Penzi Jay-Z


Rihanna
Tuesday, November 24, 2009 5:45 PM
Nyota wa muziki wa R&B wa Marekani Rihanna amekanusha uvumi uliozagaa nchini Barbados alikozaliwa kuwa alimhonga penzi mkongwe wa hip hop Jay-Z ili apate umaarufu alio nao sasa.
Nyota wa muziki wa R&B wa Marekani aliyetamba na nyimbo yake ya "Umbrella" ameelezea kuchukizwa na uvumi uliozagaa wakati alipoanza kuwika kwenye anga ya muziki kuwa alimhonga penzi Jay-Z ili ampe tafu kwenye masuala ya kimuziki.

Kipaji cha muziki cha Rihanna kilivumbuliwa kwenye visiwa vya Barbados na Jay-Z ambaye aliamua kumpa tafu Rihanna kuandaa albamu yake ya kwanza.

Lakini Rihanna anasema kuwa uvumi ulizagaa kila kona kwenye visiwa hivyo kuwa alimpa uroda Jay-Z ili ampe tafu kimuziki.

Rihanna anasema kuwa hata marafiki zake wa karibu waliamini kuwa alilala na Jay-Z ili apewe tafu.

Rihanna amekanusha uvumi huo na kusema kuwa hakuwahi kuwa na uhusiano wowote wa kimapenzi na Jay-Z.

"Uvumi huu ulinifanya nijisikie vibaya wakati wote na nilishindwa hata kumuangalia machoni Jay-Z", alisema Rihanna.

"Siku moja Jay-Z aliniita na kuniambia nisisikilize watu wanachovumisha, nisiishi kwa kufuatisha maneno ya watu", alisema Rihanna.

 
    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Ubuguvu    Tuesday, November 24, 2009 18:29:54   
 
Rihanna huu uvumi kuufuta ngumu sana labda aje yesu kukusaidia ikiwa raper chipukizi kakumega akukose milionea jay-z mtu anapesa kabla hujazaliwa na utaimba utapiga picha za uchi utatembea na bikini na hutamfikia kwa pesa umemegwa sasa unakata sasa baada ya kupata jina hii story nilisia kitambo hata wimbo wake wa if it's Lovon' That you want" alikua anamuimbia jay-z alisema So just call me whenever your lonely i'll be your friend, i can be your homey sasa leo unaka nini ndiyo maana Moms016 husema upuzi mtupu kudadadeki
 
 
Mtoa Maoni: kipara    Tuesday, November 24, 2009 18:41:30   
 
( astakfilulah )Mmungu antuumba hivi .......wanamsingia uongoo mtupuu waletee ushahidi kama kweli ?
 
 
Mtoa Maoni: amankwa    Tuesday, November 24, 2009 20:04:41   
 
wanawake ni wengi sana umarekani mbona hawakutuhumiwa ni tuhma kama hiyo? rihana hata kama ulilala na j ze kwani ni sabuni ikitumiwa itaisha.bora ukubali yaishe.ukizidi kukanusha ndio itajulikana niukweli
 
 
Mtoa Maoni: moms016    Tuesday, November 24, 2009 23:43:02   
 
langu jicho tu! natamani ningelikuwa Jay W. Kudadadeki!!
 
 
Mtoa Maoni: pumbundefu    Tuesday, November 24, 2009 23:50:05   
 
mom016 usitumie neno jicho.. Wengi wanaelewa neno hilo vibaya...Nimeshawahi kusikia mtu kaliwa jicho.. Anyway..
Kifupi ni kwamba Jay z kakamua... Na kukamua ni normal tu mbona watu kibao wanakamuliwa tena bure... ije kuwa yeye???lol

 
 
       Jumla kuna maoni (9), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za burudani
> VIDEO - Si Uchawi ni Mazoezi tu..
> 'Wanamuziki wa Bongo Flava Tungeni Nyimbo zenye Ujumbe'
> 'Miss Kibonge' Apatikana Italia
> Lundega: Miss Tanzania mwaka huu balaa
> Fella Ageukia Qaswida
> Mwisho Arudi kwa Kishindo Big Brother
> Mrembo wa Temeke Apatikana
> Ukimwi na Ushoga Ndani ya Radio Clouds ?
> VIDEO - Chris Brown Adaiwa Kujiliza Jukwaani
> VIDEO - Mtoto Aliyezua Gumzo Kwenye YouTube
> Chris Brown Anyimwa Viza ya Uingereza
> 50 Cent Choka Mbaya, Ukimuona Huwezi Kumtambua
> Burudani Time - Nyama ya Bata
> Mwarabu Kuiwakilisha Marekani Mashindano ya Urembo ya Dunia
> Mrembo Mpya wa IFM Apatikana
> Burudani Time - Angalia Mkuki Usikuchome
> Saleh Kupaza: ‘mchawi’ Aliyepewa Mwana kulea Twanga Pepeta
> 'Nipigie' ya AT Kuingia Sokoni
> Ali Choki na Kupaza Kukumbushia Enzi Zao
> TID na Ali Kiba Nani Mkali Kujulikana Jumapili
> Huku Mvua Ikinyesha, Mzee Yusuf Alamba Alamba Aaaamm...
> VIDEO - 'Tozi wa Mbagala' Kuingia Sokoni Mwezi Ujao
> Nyota wa Bongo Star Search Ajiunga na Mjomba Band
> Kapuya Aweka Uwaziri Pembeni na Kuanza Kupekecha
> Rihanna Amwaga Radhi Kwenye Bethidei Yake

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
1 'Yesu Alikuwa ni Muathirika w...
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Ashakum
Habari Mpya Mpya
> 'Yesu Alikuwa ni Muathirika wa Ukimwi'
> PICHA - Mapenzi Yanaua..
> Askofu Awaponda Wanaomtukana Kikwete
> Siri ya Kimada Yafichuka
> Ajinyonga Baada ya Kunyimwa Mkopo
> VIDEO - Mwanaume Anayemchezea Simba Sharubu
> Kampeni zachachamaa, wapinzani nao watoa ahadi
> JK aendelea kutoa ahadi
> Pingamizi la Chadema baada ya siku 5
> Urefu Wasababisha Aache Shule ya Msingi