Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Unga Unawamaliza Wasanii wa Bongo Flava


Albert Mangwea ‘Ngwair’,
Saturday, November 07, 2009 4:01 PM
Muziki wa kizazi kipya Bongo Flava uko hatarini kutokana na kwamba mastaa wake wengi ambao wamewahi kutamba katika fani hiyo wanaanza kupotea mmoja mmoja baada ya kupata pesa na kujiingiza kwenye matumizi ya madawa ya kulevya.
Unga unaimeng’enya Bongo Flava
Mambo hayapo ok, Bongo Flava inazidi kumeng’enywa na nguvu kazi yake inapungua. Hapa ni gumzo kuwa vijana wengi wapo kwenye skendo ya kutumia dawa za kulevya.

Kuna maswali magumu; Kwanini baadhi ya wasanii wana-shine kidogo, wanakubalika kitaa na kiasi fulani maisha yao kuwa bora lakini ghafla tu madogo wanaonekana kitaa wamechoka na afya zimekuwa dhaifu.

Madai ya msingi ni matumizi ya dawa za kulevya a.k.a unga, kwamba madogo wengi wakishakubalika kitaa kwa njia moja au nyingine hujiingiza kwenye matumizi ya unga, wanabwia na wengine wanajidunga kabisa.

Its dangerous! The only gent on kundi marehemu la Wakilisha, Langa Kileo anaweza kuwa mfano hai, baada ya kukiri kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM Ijumaa iliyopita kuwa alikuwa anabwia unga lakini sasa amestop. Langa alisema kuwa alikuwa mbwiaji mzuri wa Cocktail kabla ya hivi karibuni kuugua typhoid, hivyo kukosa access ya kupata unga.

Alisema, alianza kama utani lakini baadaye alizidiwa na akawa hawezi kuacha, ingawa sasa hivi anamshukuru Mungu kwamba yamepita. Katika hilo, Langa alieleza kwamba angalau sasa anajisikia nafuu na afya imeanza kurejea. Hiyo ni kauli ya Langa kupitia session ya Crazy Friday, lakini ukweli ni kuwa madogo kibao wapo kwenye skendo ya kubwia.

Albert Mangwea ‘Ngwair’, Heri Samir ‘Blu’ Mark II B a.k.a Simba ni kati ya majina ambayo yanatajwa kwenye orodha ya wanaodaiwa kubwia unga. Hayo ni majina yanayotajwa lakini nyuma ya pazia ni wengi na hii inasababisha kizazi kipya kisiwe na afya standard. Madogo wanasimama vizuri lakini baadaye wanakuwa dhoofu l’hali. Hii ni hatari na sisi kama wadau tunalaani vikali matumizi ya dawa za kulevya.

 
Source: abdallahmrisho.blogspot.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: moms016    Saturday, November 07, 2009 16:38:53   
 
Kupata/kuwa na fedha nyingi si tatizo, tatizo ni namna ya mtu alivyojipanga.
Tulifurahi kwa kipindi baada ya kusikia vijana wengi wanajishugulisha na muziki, ukweli ni kuwa wimbi la vibaka likapungua..lkn kwa kukosa msaada wa kielimu (km kawa yetu TZ wengi wetu vichwa madafu hata viongozi pia) ndiosasa 2nasikia habari hii ya kusikitisha sana ya kupoteza nguvu za kesho la taifa lisilokuwa na wa kulijali kwa 7bu tu ya ubinafsi.
Vijana wanadhulumika, na hawajui namna ya kujinasua na matatizo

 
 
Mtoa Maoni: mbegu    Saturday, November 07, 2009 18:33:29   
 
Nasema kwani wapo wengi mno hambao mwelekeo wao umeshapote hata iweje ukishaanza uwezi hata siku moj kuacha ila unapumzika2, huyo langa mpeni muda fulani mtamsikia tena, gweair kichwa kama nyoka hawezi kutoka tena, angalia tid, nature, Ray c,Daz mwalim,Msafiri diof,Masanja, hakuna la kukwepa hao washapotea na mwisho 2tazika,,,
 
 
Mtoa Maoni: Ubuguvu    Saturday, November 07, 2009 19:01:18   
 
Kuna habari nyengine zitapoteza sifa na hishima ya hii web. Hii habari ya kichokozi haikufaeni NIFAHAMISHE hizi wachini wenyewe wanaishi kwa kuchafua majina ya watu au munatangaza hiyo blog. Blog kama e-mail tu kila mtu mimi tu peke yangu nnazo mbili na sijazitangaza hapa japo kua lina wezekana hilo. Hii siopoa ktk nchi za kiarabu ukimtangaza mtu anatumia madawa ya kulevya anakamatwa na anapimwa akigundulia anatumia au aliwaikutumia anahukumimwa kifo (saudi arabia na wenzie) na kama hajawaikutumia unashitakiwa kwa kumvunjia hishima yake ktk jamii. Warabu hapendi aibu ktk famila
 
 
Mtoa Maoni: Big Sis    Saturday, November 07, 2009 21:24:03   
 
Kwa wenye lengo la kutaka kuwaangamiza vijana mambo yao yako sawa, yaani fedha kwao inaingia kiulaini sana lakini wanasahau labda na wao wana watoto au ndugu n.k. Hata hivyo Mwenye macho haambiwi tazama, vijana lazima mjikanye nyinyi wenyewe dawa za kulevya hazima mwisho mwema. Jitafutieni maisha kwa kufuata maadili mema.
 
 
Mtoa Maoni: kadudu    Sunday, November 08, 2009 12:23:36   
 
kaka UBU naomba unisaidie kuwaelewesha kwani NIFAHAMISHE inakataza na inaelewesha pia inakataza uchochezi na umbea watz wao wamezoea kupaplish mambo ungewaomba watoa habari waseme walona ukweli nacho, ausio?mie naona tatizo hapo anotoa habari anataja majina anauhakika na anolisema?kisha hao madogo anaosema wangejaribu kujipanga mbona nasikia wanachama chao cha wasanii wayaongelee kwenye mikutano yao na wakitaka wawe wazuri basi wakapimwe ili atoonekana aenguliwe kama wanavofanya kwingine.
 
 
       Jumla kuna maoni (8), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za burudani
> VIDEO - Si Uchawi ni Mazoezi tu..
> 'Wanamuziki wa Bongo Flava Tungeni Nyimbo zenye Ujumbe'
> 'Miss Kibonge' Apatikana Italia
> Lundega: Miss Tanzania mwaka huu balaa
> Fella Ageukia Qaswida
> Mwisho Arudi kwa Kishindo Big Brother
> Mrembo wa Temeke Apatikana
> Ukimwi na Ushoga Ndani ya Radio Clouds ?
> VIDEO - Chris Brown Adaiwa Kujiliza Jukwaani
> VIDEO - Mtoto Aliyezua Gumzo Kwenye YouTube
> Chris Brown Anyimwa Viza ya Uingereza
> 50 Cent Choka Mbaya, Ukimuona Huwezi Kumtambua
> Burudani Time - Nyama ya Bata
> Mwarabu Kuiwakilisha Marekani Mashindano ya Urembo ya Dunia
> Mrembo Mpya wa IFM Apatikana
> Burudani Time - Angalia Mkuki Usikuchome
> Saleh Kupaza: ‘mchawi’ Aliyepewa Mwana kulea Twanga Pepeta
> 'Nipigie' ya AT Kuingia Sokoni
> Ali Choki na Kupaza Kukumbushia Enzi Zao
> TID na Ali Kiba Nani Mkali Kujulikana Jumapili
> Huku Mvua Ikinyesha, Mzee Yusuf Alamba Alamba Aaaamm...
> VIDEO - 'Tozi wa Mbagala' Kuingia Sokoni Mwezi Ujao
> Nyota wa Bongo Star Search Ajiunga na Mjomba Band
> Kapuya Aweka Uwaziri Pembeni na Kuanza Kupekecha
> Rihanna Amwaga Radhi Kwenye Bethidei Yake

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
1 'Yesu Alikuwa ni Muathirika w...
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Ashakum
Habari Mpya Mpya
> 'Yesu Alikuwa ni Muathirika wa Ukimwi'
> PICHA - Mapenzi Yanaua..
> Askofu Awaponda Wanaomtukana Kikwete
> Siri ya Kimada Yafichuka
> Ajinyonga Baada ya Kunyimwa Mkopo
> VIDEO - Mwanaume Anayemchezea Simba Sharubu
> Kampeni zachachamaa, wapinzani nao watoa ahadi
> JK aendelea kutoa ahadi
> Pingamizi la Chadema baada ya siku 5
> Urefu Wasababisha Aache Shule ya Msingi