Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Miss Tanzania Akabidhiwa Mkoko Wake


MISS Tanzania 2009, Miriam Gerald akiwa na gari lake
Wednesday, November 04, 2009 7:50 PM
MISS Tanzania 2009, Miriam Gerald amekabidhiwa rasmi gari lake aina ya Suzuki Grand Vitara lenye thamani ya Sh. milioni 53 ambalo limetolewa na wadhamini wa shindano hilo, Kampuni ya Huduma za Simu za Mkononi, Vodacom.
Meneja Udhamini wa Vodacom, George Rwehumbiza amesema kuwa walichelewa kumkabidhi mrembo huyo zawadi yake kwa kuwa walikuwa bado hawajamaliza taratibu za usajili wa gari hilo.

Alisema kwa sasa ni wamemaliza kila kitu ikiwemo kubadilisha jina na kusajili jina la mrembo huyo na mambo mengine ambayo yatamfanya atambulike kuwa ndio mmiliki wa gari hilo.

Mwenyekiti wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga aliwapongeza Vodacom kwa kutimiza ahadi yao ambayo walihaidi kabla ya kumpata mshindi huyo na kumtaka mrembo huyo kulitunza gari hilo kwani linathamani kubwa.

Pia, aliwataka wadhamini wasimuache peke yake mrembo huyo katika mambo mbali mbali ikiwemo hata ushauri kwa mrembo huyo pindi wanapomuona ameenda tofauti na utaratibu wa mashindano hayo.

Mrembo huyo anaondoka nchini wiki hii kwenda katika maandalizi ya mashindano ya dunia ambayo yatafanyika Johannesburg, Afrika Kusini Desemba 12.

Mrembo huyo anaagwa kesho katika ukumbi wa kituo cha uwekezaji TIC na mgeni rasmi katika hafla hiyo anakuwa Mkurugenzi wa TIC, Emmanuel Ole Naiko.

 
Ismail Ally    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: moms016    Wednesday, November 04, 2009 22:30:23   
 
tena asiwe mgumu na yy akiombwa atoe kama alivyopewa! munanambiaje UBU, KING, KIPARA..??
 
 
Mtoa Maoni: Ubuguvu    Thursday, November 05, 2009 00:26:28   
 
Ndiyo maana yake MOMS016 na namshauli huyu Hashim lundenga aowe miss mmoja ni haki yake asiogope kuwamega toka umesi ulipo anzishwa 1951 na Eric D. Morley amezaliwa Holborn Landan 1918 alimmega miss julia na baadae akamuoa na hivi sasa Julia Marley ndiyo mwenyekiti mwenye mamuzi ktk event organizer of the miss world pageant Bhai wewe mtu na pesa zako huyu mwanamke mjane mumewe amekufa 2000 nina hakika anahitaji kidume. Voda wanaendea kuatumia dada zetu kuatangaza biashara yao huyo gari sasa siyo yenu kwa nini mmeipaka rangu yenu?
 
 
Mtoa Maoni: jmani    Saturday, November 21, 2009 18:35:35   
 
hilo gari wala halina thamani hiyo, tunajua magari ya thamani 53 milion. wacha kuaongopea tunajua
 
 
      
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za burudani
> VIDEO - Si Uchawi ni Mazoezi tu..
> 'Wanamuziki wa Bongo Flava Tungeni Nyimbo zenye Ujumbe'
> 'Miss Kibonge' Apatikana Italia
> Lundega: Miss Tanzania mwaka huu balaa
> Fella Ageukia Qaswida
> Mwisho Arudi kwa Kishindo Big Brother
> Mrembo wa Temeke Apatikana
> Ukimwi na Ushoga Ndani ya Radio Clouds ?
> VIDEO - Chris Brown Adaiwa Kujiliza Jukwaani
> VIDEO - Mtoto Aliyezua Gumzo Kwenye YouTube
> Chris Brown Anyimwa Viza ya Uingereza
> 50 Cent Choka Mbaya, Ukimuona Huwezi Kumtambua
> Burudani Time - Nyama ya Bata
> Mwarabu Kuiwakilisha Marekani Mashindano ya Urembo ya Dunia
> Mrembo Mpya wa IFM Apatikana
> Burudani Time - Angalia Mkuki Usikuchome
> Saleh Kupaza: ‘mchawi’ Aliyepewa Mwana kulea Twanga Pepeta
> 'Nipigie' ya AT Kuingia Sokoni
> Ali Choki na Kupaza Kukumbushia Enzi Zao
> TID na Ali Kiba Nani Mkali Kujulikana Jumapili
> Huku Mvua Ikinyesha, Mzee Yusuf Alamba Alamba Aaaamm...
> VIDEO - 'Tozi wa Mbagala' Kuingia Sokoni Mwezi Ujao
> Nyota wa Bongo Star Search Ajiunga na Mjomba Band
> Kapuya Aweka Uwaziri Pembeni na Kuanza Kupekecha
> Rihanna Amwaga Radhi Kwenye Bethidei Yake

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Namabengo Computer Repairing Services Call: 0762-486583 0r 0712-409641
Habari Zilizosomwa Sana
1 'Yesu Alikuwa ni Muathirika w...
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Ashakum
Habari Mpya Mpya
> 'Yesu Alikuwa ni Muathirika wa Ukimwi'
> PICHA - Mapenzi Yanaua..
> Askofu Awaponda Wanaomtukana Kikwete
> Siri ya Kimada Yafichuka
> Ajinyonga Baada ya Kunyimwa Mkopo
> VIDEO - Mwanaume Anayemchezea Simba Sharubu
> Kampeni zachachamaa, wapinzani nao watoa ahadi
> JK aendelea kutoa ahadi
> Pingamizi la Chadema baada ya siku 5
> Urefu Wasababisha Aache Shule ya Msingi