Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Miss Tanzania Aanza Harakati Za Kutwaa Miss World


MISS Tanzania 2009, Miriam Gerald
Tuesday, October 20, 2009 4:56 PM
MISS Tanzania, Miriam Gerald, ameanza mazoezi ya kujindaa na shindano la kumsaka mrembo wa dunia linalotarajiwa kufanyika Desemba mwaka huu huko Afrika Kusini.
Akizungumza na gazeti moja jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino inayoratibu shindano la Miss Tanzania, Hashimu Lundenga, alisema kwamba mrembo ameanza mazoezi hayo mapema ili aweze kufanya vizuri katika fainali za mwaka huu.

Lundenga alisema ili kuhakisha anakamilika kila idara, Miriam atakuwa akinolewa na walimu watatu ambao kila mmoja atakuwa na eneo lake.

“Moja ya mazoezi hayo ni kumjenga kisaikolojia, lugha ambayo itamuwezesha kukabiliana na waandishi wa habari wa mataifa mengine, waandaaji wa mashindano hayo na warembo wenzake.

Pia mrembo huyo atafundishwa masuala mbalimbali yanayohusiana na mashindano hayo ikiwemo jinsi ya kuvaa mavazi yanayoendana na muda sehemu na wakati.

Aliongeza kuwa tayari mrembo huyo amechukuliwa vipimo vyote muhimu na majibu yake kuwa safi ambapo kabla ya kwenda Afrika Kusini anatarajia kuhudhuria Mkutano wa Dunia wa Biashara utakaofanyika mapema Novemba nchini Uingereza.

 
Ismail Ally    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: maua    Tuesday, October 20, 2009 19:31:51   
 
tunakutakia safari njema katika kutuletea sifuri
 
 
Mtoa Maoni: kipara    Tuesday, October 20, 2009 20:07:30   
 
hongera antyy ''kitukilchonifurahi hapa atamuwakilisha waziri wa biashara hii babkubwa maana hana analolifanya bora uende na madaha yako labda wata tukopesha mitambo ya kutotolesha umeme maana hio biashara bila ya umeme ni biashara gani ? labda bangii
 
 
Mtoa Maoni: moms016    Tuesday, October 20, 2009 21:49:37   
 
sijaona faida ya mashindano haya zaidi ya kugonganishwa "ke" vichwa tu, alafu wakatumiwa ktk matangazo ya biashara.
Siri ya uanzilishaji wa mashindano haya ni kule kuzorota kwa uonekanaji wa bidhaa kwa baadhi ya mashirika makubwa duniani, na hapo ndio ikaja fikra ya kutafuta ni nani wa kuzitangaz likaja wazo la Umiss, miaka ya 50 chini ya muasisi wake Eric Morley.
Anyway, Tz watashiriki lkn ushindi hakuna, na wakiupata nishafurahia manake hakuna jinsi tena.
BOPPY na wewe si ushiriki??

 
 
Mtoa Maoni: nyoshi    Wednesday, October 21, 2009 01:34:38   
 
anawasindikiza wenzake tu
hana uzuri wowote

 
 
Mtoa Maoni: Jembe     Wednesday, October 21, 2009 02:27:16   
 
hahahaha Wabongo bwana hadi Raha
 
 
       Jumla kuna maoni (12), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za burudani
> VIDEO - Si Uchawi ni Mazoezi tu..
> 'Wanamuziki wa Bongo Flava Tungeni Nyimbo zenye Ujumbe'
> 'Miss Kibonge' Apatikana Italia
> Lundega: Miss Tanzania mwaka huu balaa
> Fella Ageukia Qaswida
> Mwisho Arudi kwa Kishindo Big Brother
> Mrembo wa Temeke Apatikana
> Ukimwi na Ushoga Ndani ya Radio Clouds ?
> VIDEO - Chris Brown Adaiwa Kujiliza Jukwaani
> VIDEO - Mtoto Aliyezua Gumzo Kwenye YouTube
> Chris Brown Anyimwa Viza ya Uingereza
> 50 Cent Choka Mbaya, Ukimuona Huwezi Kumtambua
> Burudani Time - Nyama ya Bata
> Mwarabu Kuiwakilisha Marekani Mashindano ya Urembo ya Dunia
> Mrembo Mpya wa IFM Apatikana
> Burudani Time - Angalia Mkuki Usikuchome
> Saleh Kupaza: ‘mchawi’ Aliyepewa Mwana kulea Twanga Pepeta
> 'Nipigie' ya AT Kuingia Sokoni
> Ali Choki na Kupaza Kukumbushia Enzi Zao
> TID na Ali Kiba Nani Mkali Kujulikana Jumapili
> Huku Mvua Ikinyesha, Mzee Yusuf Alamba Alamba Aaaamm...
> VIDEO - 'Tozi wa Mbagala' Kuingia Sokoni Mwezi Ujao
> Nyota wa Bongo Star Search Ajiunga na Mjomba Band
> Kapuya Aweka Uwaziri Pembeni na Kuanza Kupekecha
> Rihanna Amwaga Radhi Kwenye Bethidei Yake

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Namabengo Computer Repairing Services Call: 0762-486583 0r 0712-409641
Habari Zilizosomwa Sana
1 'Yesu Alikuwa ni Muathirika w...
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Ashakum
Habari Mpya Mpya
> 'Yesu Alikuwa ni Muathirika wa Ukimwi'
> PICHA - Mapenzi Yanaua..
> Askofu Awaponda Wanaomtukana Kikwete
> Siri ya Kimada Yafichuka
> Ajinyonga Baada ya Kunyimwa Mkopo
> VIDEO - Mwanaume Anayemchezea Simba Sharubu
> Kampeni zachachamaa, wapinzani nao watoa ahadi
> JK aendelea kutoa ahadi
> Pingamizi la Chadema baada ya siku 5
> Urefu Wasababisha Aache Shule ya Msingi