Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Kakobe atoa mpya, aitilia mkwara serikali


Wednesday, March 10, 2010 10:27 AM
MKUU wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Mchungaji Zachary Kakobe, amesema umeme unaopitishwa sasa kanisani kwake hautafanya kazi ipasavyo kwa maombi atakayofanya na anaamini umeme hautawaka kwa nguvu ya Mungu kwa vile hakuna nguvu zita
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dar es Salaam jana, Askofu Kakobe alisema ameshangazwa na kauli ya Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, kuutangazia umma kuwa ameridhia umeme huo kupitishwa kwenye kanisa hapo.

Alisema kwa kuwa serikali imekaidi agizo lake na yeye hana uwezo wa kukataa maamuzi hayo basi atacha ujenzi uendelee lakini hakuna umeme utkaofanya kazi mahalai hapo kut okana na maombi atakayoungurumisha kanisani hapo kupinga kupitihswa kwa ueme huo hapo.

“Huu ni uonevu wa hali ya juu, sijakubaliana na maamuzi hayo kwa kuwa vipimo vyote vilivyotolewa havikuwa vya kweli, vilikuwa ni vya kughushi na ndio mana sikukubaliana na Waziri Ngeleja alivyotoa taarifa yake ” alisema Askofu Kakobe.

Alisema hivi sasa amegundua hawatakiwi kupinga upitishaji wa umeme huo kimwili kama walivyokuwa wamefanya huko siku za nyuma bali ni kutakiwa kukaa katika maombi kupinga suala hilo na hataweza kubishana na watu wasiomtambua Mungu.

Alisema hivi sasa amepata taarifa za uhakika kuwa baadhi ya watu wamepewa taarifa kuwa wanatakiwa kuhama katika eneo hilo kupisha upitishaji wa nguvu hiyo ya umeme kitendo ambacho kinampa ishara kuwa kuna mpango wa kanisa lake kuvunjwa.

Askofu Kakobe alipingana na madai yaliyotolewa na Mshauri Mtaalam wa Kampuni ya BICO, kuwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), linatakiwa kuepukana na kona kali kwenye waya na kutounganisha sehemu yoyote kati ya nguzo namba 18 na 19.

“Nakwambia hata wakipitisha umeme huu hapa… hautawaka kwa vile nguvu ya Mungu itashinda nguvu ya umeme lakini kibaya nimesikitishwa na Waziri Ngeleja kuutangazia umma eti nimekubali umeme upitishwe hapa, nasema siyo kweli jamani,” alisema Askofu Kakobe.



 
Na Pilly Kigome, Dar    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: DeClarkes    Wednesday, March 10, 2010 11:00:50   
 
Hongera Askofu Kakobe kwa kuonyesha nafasi yako ya kiroho kulikoni kinguvu. Nadhani itakuwa ni nafasi muafaka ya kuonyesha miujiza yako. Itakujengea heshima, nafasi katika jamii na utakuwa mmoja wa wale manabii iwapo umeme hautafanya kazi. Lakini iwapo itakuwa kama ulivyomtabiria Mrema kuwa Rais, basi tegemea kinyume kwa vyote!
 
 
Mtoa Maoni: Moody 56    Wednesday, March 10, 2010 11:06:55   
 
Miujiza au uchawi wa Kakobe tunasubiria matokeo, na pia angesema kama haitakuwa vile aombavyo na atakavyo basi ajiuzulu na atubie kwa waumini wake. Kuna baadhi ya mambo usijitie uyaache kama yalivyo tunataka tuone huo muujiza mwaka huu,
 
 
Mtoa Maoni: kaka    Wednesday, March 10, 2010 11:22:12   
 
mfa maji haachi kutapatapa.
 
 
Mtoa Maoni: JOSE    Wednesday, March 10, 2010 11:57:47   
 
HAKUNA JAMBO LISILOWEZEKANA NI
IMANI YAKO KAKOBE NDIO INAPASWA
KUTUMIKA SASA WALE WANAOSEMA WEWE
MBABAISHAJI NGOJA WAONE SASA KAMA
UMEME HUO UTAWAKA......NGUVU ZA
NINI HUWEZI KUSHINDANA NA
SERIKALI WE PIGA MAOMBI WAONE
UWEPO WA MUNGU KWA
WANYONGE..........

 
 
Mtoa Maoni: moud    Wednesday, March 10, 2010 11:58:12   
 
Mimi binafsi siamini kuwa zakary kakobe ni Askofu halali. maana wa askofu wengine ni watu wa muhimu katika mambo ya kuijenga inchi na hasa kutowa ushauri serekalini. ila kakobe yeye anataka kuwa pingamizi.huwenda siasa yaka anapitia kanisani, awehuru hata kugombea urais atapata kura.
 
 
       Jumla kuna maoni (21), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za Tanzania
> VIDEO ya Salamu za EID MUBARAK Toka Nifahamishe.Com
> Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nchini Kwa Lugha Chafu
> Kesi ya Rama yahamishiwa Mahakama Kuu
> Wanawake tumieni fursra hii
> Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa mitihani, Songea, Mwanza
> Polisi kwa kete 300 za bangi
> Tani za mtama usiofaa wakamatwa Zanzibar
> Jeshi la Polisi laimarisha ulinzi Kariakoo
> Tendwa atupilia mbali pingamizi la Chadema
> Aangua kilio baada ya kutapeliwa- Kar iakoo
> Sheria isipofata mkondo wake, nitaandaa maandamano-Baswalehe
> Darasa la 7 waanza mitihani leo
> Askofu Awaponda Wanaomtukana Kikwete
> Kampeni zachachamaa, wapinzani nao watoa ahadi
> JK aendelea kutoa ahadi
> Pingamizi la Chadema baada ya siku 5
> Chadema yawasilisha pingamizi
> Wanafunzi waweweseka Tabata
> Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dodoma yateketea
> Ramli ya Joseph ilisema hivi!
> 7 papohapo, wengine majeruhi ajalini- Mabibo
> Makahaba msipotoshe vazi hili!
> Sakata la kugombania maiti bado tata
> Mahakamani kwa kujipatia ngono kwa njia ya madawa ya kulevya
> Chadema yamuwekea pingamizi Kikwete

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Namabengo Computer Repairing Services Call: 0762-486583 0r 0712-409641
Habari Zilizosomwa Sana
1 Kanisa Lasisitiza Kuchoma Mot...
2 VIDEO - Simba Alipomgeuza Asu...
3 Kelele za Kimahaba Zamponza
4 Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nch...
5 Kesi ya Rama yahamishiwa Maha...
6 Wanawake tumieni fursra hii
7 Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa...
8 Viagra Ya Saudi Arabia Yazua ...
9 Hatimaye Kanisa Laahirisha Ku...
10 VIDEO ya Salamu za EID MUBARA...
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Duh pole sana
Habari Mpya Mpya
> VIDEO ya Salamu za EID MUBARAK Toka Nifahamishe.Com
> Hatimaye Kanisa Laahirisha Kuchoma Moto Quran
> Viagra Ya Saudi Arabia Yazua Mzozo
> Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nchini Kwa Lugha Chafu
> Kesi ya Rama yahamishiwa Mahakama Kuu
> Wanawake tumieni fursra hii
> Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa mitihani, Songea, Mwanza
> Kanisa Lasisitiza Kuchoma Moto Quran Jumamosi
> Kelele za Kimahaba Zamponza
> VIDEO - Simba Alipomgeuza Asusa Mkufunzi Wake