Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Maadili yazidi kuporomoka Tanzania


Monday, February 08, 2010 11:28 AM
KATIKA hali ya kuonekana ni ukosefu wa adabu ulioshamiri katika baadhi ya maeneo ya jijini Dar es Salaam wapenzi wawili wamejikuta wakishindwa kuvumilia matamanio ya kimapenzi na kujikuta wakifanya mapenzi baa bila kujitambua
Hali hiyo ilibidi baadhi ya wastaarabu walioko eneo hilo kuondoka na wengine wakiacha vinywaji vyao mezani na kuwapisha wawili hao waendelee na shughuli yao hiyo mahali hapo.

Tukio hilo tunaweza kusema ni la aina yake lilitokea jana maeneo ya Namnana Baa huko maeneo ya Mabibo jijini Dar es Salaam, mishale ya saa 11:48 usiku.

Watu hao ambao walikuwa wamekaa kwa muda mrefu katika baa hiyo wakipata vinywaji hatma yake iliishia wakijikuta wakiangushana chini baada ya kuzidiwa kwa hali ya kimapenzi.

Wapenzi hao ambao walishangaza watu kwa kujiuliza maswali kuwa walikuwa wameishiwa fedha ya kwenda kukodisha chumba katika moja ya nyumba za wageni au walikuwa wamezidiwa na pombe haikueleweka maramoja kwa wale waliojiuliza na maswali hayo.

Wapenzi hao walionekana wakifanya mapenzi katika viti na baadae kujisahau kama walikuwa mahali hapo na kuendelea na mchezo huo wakiwa hapohapo bila kujitambua walikuwa baa na kujikuta baadhi ya watu waliokuwa wamekaa karibu na wapenzi hao kuondoka mahali hapo.

Mmoja wa wahudumu wa baa hiyo alikwenda katika meza hiyo kwa ajili ya kwenda kuangalia kama walikuwa wanahitaji kuongezewa kinywaji kwa muda huo na kukuta hali na muhudumu huyo kuwatonya baadhi ya wahudumu wenzie na ndipo watu wengine waliweza kugundua kuwa kuna wawili walikuwa wanapeana starehe mahali hapo.

Kutokana na hali hii imedhihirisha wazi kuwa mmomonyoko wa maadili nchini unazidi kumomonyoka na watanzania wanatakiwa wajiheshimu kudumisha mila na desturi za kitnzania ili tuweze kuendeleza kizazi chenye maadidli bora.


 
Na Mwandishi Wetu, Dar    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Moody 56    Monday, February 08, 2010 11:51:20   
 
Dawa yake kuwaadabisha wangewatandika bakora ili siku nyingine weweke akili zao sawa, maadili hakika yameshuka kabisa, hata ukienda ktk fukwe siku za weekend au sikukuu hali ni kama hiyo tena hadharani, ni hatari kabisa ni kuwaadhiri watu hawa kila wanapoonekana wala sio kilevi ni makusudi kabisa
 
 
Mtoa Maoni: Moody 56    Monday, February 08, 2010 11:51:27   
 
Dawa yake kuwaadabisha wangewatandika bakora ili siku nyingine weweke akili zao sawa, maadili hakika yameshuka kabisa, hata ukienda ktk fukwe siku za weekend au sikukuu hali ni kama hiyo tena hadharani, ni hatari kabisa ni kuwaadhiri watu hawa kila wanapoonekana wala sio kilevi ni makusudi kabisa
 
 
Mtoa Maoni: Ubuguvu    Monday, February 08, 2010 12:07:48   
 
Maadili ya zidi kuboromoka tanzania mimi nadhai kabla ya kuandika chochote nalaani vikali matusi yalioandikwa katika habari ya mwanafunzi aliouza bikira yake kwa dala milion 36 kitendo cha kuandika matusi na kutukana hapa kama waimba taarabu hakikubali na hakitakubalika daima kama kuna watoto wanandika comment kutukana wajue kwamba hapa wapo na watu wazima wanapaswa kijishimu sijui wenzangu wao nania gani kuepo hapa lakini mimi nipo hapa sio kama ndo sina kazi kama wao na mimi natembelea web tofauti sio nifahamishe tu lkn hapa ndo home siwezi kupacha paharibike wadau munaotoa maoni aka comment nawaomba tuache matusi tujaribu kuana na busara kama kuna yoyote anataka demu au anata bwana basi atumiee busara 4 more in4mation ubuguvu@hotmail.com
 
 
Mtoa Maoni: DeClarkes    Monday, February 08, 2010 12:32:47   
 
Nadhani huu mmomonyoko unatokana na kutokufuatiliwa kwa wanaokiuka sheria,miongozo na taratibu. Nadhani iwapo hao waliofanya ngono hadharani hawakuchukuliwa hatua ujue watafanya tena na tena. Wapewe adhabu wakome
 
 
Mtoa Maoni: tkm    Monday, February 08, 2010 14:32:55   
 
Watanzania wenzangu hii ni laa'na. Na Allah alishasema Laana ikizidi ataleta maafa na mabalaa mbali mbali ili watu wajirudi lakini mioyo yetu imeshashika kutu.Tumejionea wenyewe vurugu za HAITI wiki chache na magonjwa mengi ya ajabu ajabu.Tumuogope Mungu jamani, balaa likitokea huwa linamkumba aliemo na asiemo.Ndo mana tunaambiwa tukatazane mabaya na tuamrishane mema.Leo hii watu wanafanya maasi kwa kujitangaza.Eti mdada anauza bikira,ndoa za jinsia moja,nk.
 
 
       Jumla kuna maoni (22), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za Tanzania
> Askofu Awaponda Wanaomtukana Kikwete
> Kampeni zachachamaa, wapinzani nao watoa ahadi
> JK aendelea kutoa ahadi
> Pingamizi la Chadema baada ya siku 5
> Chadema yawasilisha pingamizi
> Wanafunzi waweweseka Tabata
> Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dodoma yateketea
> Ramli ya Joseph ilisema hivi!
> 7 papohapo, wengine majeruhi ajalini- Mabibo
> Makahaba msipotoshe vazi hili!
> Sakata la kugombania maiti bado tata
> Mahakamani kwa kujipatia ngono kwa njia ya madawa ya kulevya
> Chadema yamuwekea pingamizi Kikwete
> Joseph aendelea na dozi
> Matatani kwa kujaribu kulawiti
> Hatma ya Muro Agosti 27
> JWTZ yatoa hofu wananchi
> Mwizi Auliwa Kwa Kuchomwa Moto Kichwa na Tumbo Lake
> Mwanamke akabiliwa na tuhuma za kujaribu kuua
> Joseph akimbizwa kwa mganga wa kienyeji
> Yu hatihati kufanya mtihani
> Maziko yatawaliwa na huzuni
> Aliyeshirikiana nae adaiwa yu mgonjwa kwa hofu
> Kikwete Aanguka Tena Jukwaani
> Sakata la paka mmoja afariki dunia

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Namabengo Computer Repairing Services Call: 0762-486583 0r 0712-409641
Habari Zilizosomwa Sana
1 'Yesu Alikuwa ni Muathirika w...
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Ashakum
Habari Mpya Mpya
> 'Yesu Alikuwa ni Muathirika wa Ukimwi'
> PICHA - Mapenzi Yanaua..
> Askofu Awaponda Wanaomtukana Kikwete
> Siri ya Kimada Yafichuka
> Ajinyonga Baada ya Kunyimwa Mkopo
> VIDEO - Mwanaume Anayemchezea Simba Sharubu
> Kampeni zachachamaa, wapinzani nao watoa ahadi
> JK aendelea kutoa ahadi
> Pingamizi la Chadema baada ya siku 5
> Urefu Wasababisha Aache Shule ya Msingi