Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Simba Na Yanga Zaenda Likizo Ligi Kuu


Kikosi cha Simba
Saturday, February 06, 2010 1:06 PM
SIMBA na Yanga wikiendi hii zitakuwa ‘likizo’ katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara na badala yake zitacheza keshokutwa Jumatatu na Jumanne.
Yanga ndiyo itakayokuwa ya kwanza kucheza Jumatatu ijayo dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam ukifuatia mchezo kati ya Simba na Manyema siku ya Jumanne.

Tayari Simba ina pointi 43 ilizopata baada ya kycheza mechi 15 inaongoza ligi hiyo ikifuatiwa na Yanga yenye pointi 33 ikiwa imecheza mechi sawa na za Simba.

Katika mwendelezo wa ligi hiyo, kesho jijini Dar es Salaam Moro United itacheza na itacheza na African Lyon kwenye Uwanja wa Uhuru huku Prisons ikicheza na Azam FC kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.

 
Ismail Ally    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Hagui    Saturday, February 06, 2010 14:52:40   
 
African lyon munatuangusha tulitegemea makubwa kutoka kwenu kazeni kamba
 
 
Mtoa Maoni: Ubuguvu    Saturday, February 06, 2010 16:58:05   
 
Ismail Ally asante sana kwa kueka kikosi cha simba hapo juu chapokua yanga wakikiona hiyo picha wataogopa lakini hakuna budi lazima na simba na wao waweke sio kila siku yanga tu hata ikiwa inaelezewa simba Ismail umetenda haki mungu akubariki
 
 
Mtoa Maoni: KING    Saturday, February 06, 2010 20:02:26   
 
Safi hii, mapumziko muhimu bwana kurekebisha mawili matatu indoor. Kila la heri YANGA na Simba!
 
 
Mtoa Maoni: Semenya    Sunday, February 07, 2010 02:39:25   
 
Mimi nataka ata hy jmtatu wasicheze waendelee kupumzika tu.
Mimi nasubiri super bowl mambo ya maana soccer hasa sio yangu ila Man u wakicheza roho hunienda mbio. Da Mina unajua super bowl ni nini au wewe netiboli tuuu!! Muulize Ubuguvu atakuelezea nina uhakika my husband wako MOMSO pia hajui.Vp kashaondoka kuelekea canada?
@Nautia kas vp upo? KING mambo?

 
 
Mtoa Maoni: mkulya orginal    Sunday, February 07, 2010 14:04:45   
 
ligi ishaisha na simba ndo bingwa sisi wanayanga tukubali tu huo ndo uanasoka. mbona bingwa yuko wazi ,mi nadhani tufikiria champions ligi na si simba tena. mwaka huu imekula kwetu
 
 
       Jumla kuna maoni (6), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za michezo
> Ligi Kuu Bara Kuanza Jumamosi, Waamuzi Acheni Unazi
> Kenneth Asamoah Boateng: Mtambo mpya wa mabao Yanga
> 'Huu Ndiyo Uchawi Wangu' - Fuso
> Kaseja na Kado Wachuana Kuwania Jezi Namba 1
> Kocha Mpya Stars Aguswa na Kiwango cha Ngasa
> Nyota wa Uingereza Amhonga Kahaba Paundi 800 Kwa Usiku Mmoja
> Taifa Stars Kujipima Ubavu na Wamisri
> VIDEO - Ushangiliaji wa Goli Ambao Haujawahi Kutokea
> Baada ya Kubugizwa 6-0 Twiga Stars Yaja na Visingizio Kibao
> Ngassa Kizani Azam Fc
> Simba Yaiovateki Yanga na Kumsajili Gumbo
> Jeuri ya Wachina Bongo
> Kocha Wa Yanga Hataki Masihara
> Matumla Ajigamba Kumdunda Maugo
> Semenya Arudi Kwenye Riadha Kwa Ushindi
> VIDEO - Ajaribu Kuliiba Kombe la Dunia
> VIDEO - Hispania Wawa Mabingwa Wapya wa Dunia
> Wachezaji wa Hispania Waingizwa Mjini Afrika Kusini
> Sweta la Bluu Ndilo Linaloipa Ushindi Ujerumani
> Wawili Wauliwa Kenya Kwasababu ya Mechi ya Ghana
> Ghana Yawasononesha Waafrika
> Brazil Chariii!! Yatolewa Kombe la Dunia
> Ujerumani Yaicharanga Uingereza 4-1
> Ivory Coast Yaliaga Kombe la Dunia, Ghana Ndio Tegemeo Lililobaki
> Ghana Yaibeba Afrika, Algeria Yafungashwa Virago

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Namabengo Computer Repairing Services Call: 0762-486583 0r 0712-409641
Habari Zilizosomwa Sana
1 'Yesu Alikuwa ni Muathirika w...
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Ashakum
Habari Mpya Mpya
> 'Yesu Alikuwa ni Muathirika wa Ukimwi'
> PICHA - Mapenzi Yanaua..
> Askofu Awaponda Wanaomtukana Kikwete
> Siri ya Kimada Yafichuka
> Ajinyonga Baada ya Kunyimwa Mkopo
> VIDEO - Mwanaume Anayemchezea Simba Sharubu
> Kampeni zachachamaa, wapinzani nao watoa ahadi
> JK aendelea kutoa ahadi
> Pingamizi la Chadema baada ya siku 5
> Urefu Wasababisha Aache Shule ya Msingi