Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Yanga Kuwashughulikia Watovu Wa Nidhamu


Amir Maftah
Friday, February 05, 2010 11:20 AM
UONGOZI wa Yanga umesema utawajadili wachezaji wake wanaonyesha utovu wa nidhamu Uwanjani.
Katika mechi mbili mfululizo, Yanga imekuwa ikimaliza mechi zake wakiwa pungufu kutokana na wachezaji wake kutolewa kwa kadi nyekundu.

Katika mchezo dhidi ya Majimaji, beki wa kutumainiwa wa timu hiyo, Wisdom Ndlovu alitolewa kwa kadi nyekundu na katika mechi yake dhidi ya JKT Ruvu, Amir Maftah naye alitolewa kwa kadi hiyo hiyo.

Afisa Habari za timu hiyo, Louis Sendeu aliliambia gazeti moja la kila siku kwamba, uongozi umestushwa na tabia hiyo ambayo inatakiwa kurekebishwa mara moja.

Sendeu alisema kuwa Yanga inakabiliwa na mashindano makubwa ya Ligi ya Mabingwa Afrika na wachezaji wake wanatakiwa kuwa makini sana na kadi zisizo kuwa na msingi.

"li ni tatizo kwa wachezaji wetu, hata hivyo tutakaa na wachezaji hao na kuongea nao ili kutatua tatizo hilo" alisema Sendeu.

Katika mechi ya juzi, Maftah alipewa kadi mbili za njano kwa kujitakia mwenyewe.

Mwamuzi, Klina Kabala wa Dar es Salaam aliwaamuru wachezaji wa Yanga waende kwenye ukuta ili adhabu hiyo ipigwe, Maftah akatoka na kwenda kuchelewesha mpira.

Katika kadi ya pili, Maftah alimpiga ngumi mchezaji wa JKT Ruvu wakati huo mchezaji mwezake, Bakari Mbegu akiwa amekwisha okoa mpira.

Mwamuzi wa pembeni, Godfrey Tumaini alimuona na kumwita mwamuzi wa kati na kumpa kadi nyekundu.

 
Ismail Ally    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Ubuguvu    Friday, February 05, 2010 13:28:52   
 
Sasa mutawajadili nini wakati wachezaji wenu wemeishiwa mbinu we undhani mchezaji umfukishe moshi wa udi na nyungu kabla ya mechi unazani atacheza nini dakika 10 ulimi upo nje hana chakufanya zaidi ya utovu wa adabu mara nyingi tunasikia mtu anafanya utovu wa adabu then wazazi wanamtetea lakini ukisikia mpaka mzazi anasema tabia ya mwanae basi huyu kashandikana jifunzeni simba kwa nini wachezaji wake wananizamu na hawafungwi kama simc nguvu ya soda yanga nguyu ya togwa haliji juu hata uliti
 
 
Mtoa Maoni: KING    Friday, February 05, 2010 16:21:13   
 
@Ha ha ha UBUGUVU ipi tena, hii Simba ya Msimbazi? Thubutuuuuuu.......wazee wa dole!!!

Hii habari inashangaza na ni kichekesho, nn hii kutafuta mbuzi kati ya kundi la mbuzi? C wote ni mbuzi tu hao..........kama kweli viongozi watashughurika basi haponi hata mmoja hapo jangwani.

 
 
Mtoa Maoni: Semenya    Friday, February 05, 2010 21:41:08   
 
HAHAAAA!!! @Ubuguvu huachi wewe!!
hy timu ya Yanga inavituko kila cku wana mpya.

 
 
      
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za michezo
> Ligi Kuu Bara Kuanza Jumamosi, Waamuzi Acheni Unazi
> Kenneth Asamoah Boateng: Mtambo mpya wa mabao Yanga
> 'Huu Ndiyo Uchawi Wangu' - Fuso
> Kaseja na Kado Wachuana Kuwania Jezi Namba 1
> Kocha Mpya Stars Aguswa na Kiwango cha Ngasa
> Nyota wa Uingereza Amhonga Kahaba Paundi 800 Kwa Usiku Mmoja
> Taifa Stars Kujipima Ubavu na Wamisri
> VIDEO - Ushangiliaji wa Goli Ambao Haujawahi Kutokea
> Baada ya Kubugizwa 6-0 Twiga Stars Yaja na Visingizio Kibao
> Ngassa Kizani Azam Fc
> Simba Yaiovateki Yanga na Kumsajili Gumbo
> Jeuri ya Wachina Bongo
> Kocha Wa Yanga Hataki Masihara
> Matumla Ajigamba Kumdunda Maugo
> Semenya Arudi Kwenye Riadha Kwa Ushindi
> VIDEO - Ajaribu Kuliiba Kombe la Dunia
> VIDEO - Hispania Wawa Mabingwa Wapya wa Dunia
> Wachezaji wa Hispania Waingizwa Mjini Afrika Kusini
> Sweta la Bluu Ndilo Linaloipa Ushindi Ujerumani
> Wawili Wauliwa Kenya Kwasababu ya Mechi ya Ghana
> Ghana Yawasononesha Waafrika
> Brazil Chariii!! Yatolewa Kombe la Dunia
> Ujerumani Yaicharanga Uingereza 4-1
> Ivory Coast Yaliaga Kombe la Dunia, Ghana Ndio Tegemeo Lililobaki
> Ghana Yaibeba Afrika, Algeria Yafungashwa Virago

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
1 'Yesu Alikuwa ni Muathirika w...
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Ashakum
Habari Mpya Mpya
> 'Yesu Alikuwa ni Muathirika wa Ukimwi'
> PICHA - Mapenzi Yanaua..
> Askofu Awaponda Wanaomtukana Kikwete
> Siri ya Kimada Yafichuka
> Ajinyonga Baada ya Kunyimwa Mkopo
> VIDEO - Mwanaume Anayemchezea Simba Sharubu
> Kampeni zachachamaa, wapinzani nao watoa ahadi
> JK aendelea kutoa ahadi
> Pingamizi la Chadema baada ya siku 5
> Urefu Wasababisha Aache Shule ya Msingi