Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Msichana Azikwa Hai Kwa Kosa la Kuwa na Rafiki wa Kiume


Friday, February 05, 2010 3:34 AM
Msichana mwenye umri wa miaka 16 amezikwa hai na ndugu zake nchini Uturuki kwa kosa la kuwa na rafiki wa kiume hivyo kudaiwa ameiletea aibu familia yake.
Msichana mwenye umri wa miaka 16 wa nchini Uturuki amezikwa hai na ndugu zake baada ya kushutumiwa kuwa ameitia aibu familia yake kwa kuwa na marafiki wa kiume.

Baada ya kupewa taarifa ya tukio hilo, polisi walifanikiwa kuupata mwili wa msichana huyo aliyetambulika kwa jina la Medine Memi siku 40 baada ya kutangazwa kuwa ametoweka.

Mwili wa Medine ulikutwa katika mji wa Adiyaman umekalishwa kitako kwenye shimo la mita 2 huku mikono yake ikiwa imefungwa na kamba.

Baada ya maiti yake kufanyiwa vipimo kadhaa iligundulika kuwa kwenye tumbo lake na mapafu kulikuwa na kiasi cha mchanga hivyo kumaanisha kuwa alizikwa akiwa hai, taarifa ya wataalamu wa makosa ya jinai ilisema.

"Matokeo ya uchunguzi wa maiti yake yanasikitisha sana, msichana ambaye hakuwa na mchubuko hata mmoja kwenye mwili wake na wala hakuwa na kiasi chochote cha sumu kwenye damu yake, alikuwa hai na mwenye kujitambua wakati alipozikwa hai", alisema mtaalamu mmoja ambaye hakutaka kusema jina lake.

Baba yake Medine na babu yake, wametiwa mbaroni na kutupwa jela wakati uchunguzi wa mauaji yake ukiendelea.

Shirika la habari la Anatolia la Uturuki liliripoti kuwa baba yake Meline alisema katika ushahidi wake polisi kuwa familia yake haikuwa ikifurahia kumuona Medine akiwa na marafiki wa kiume.

Mauaji hayo yanayoitwa "Mauaji ya kulinda heshima" hufanyika sana kusini mashariki mwa Uturuki katika maeneo yenye Wakurdi wengi.

Serikali ya Uturuki imekuwa ikijaribu kuyakomesha mauaji hayo ya kulinda heshima bila mfanikio yoyote.

Wanawake wanaobakwa au wanaopata ujauzito kabla ya kuolewa huuliwa na familia zao katika kile kinachodaiwa kusafisha nuksi na fedheha wanazoziletea familia zao.

 
    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Cinderella    Friday, February 05, 2010 03:57:28   
 
Allahu Akbar!!
 
 
Mtoa Maoni: mdau    Friday, February 05, 2010 04:15:33   
 
Inalilahi waina ilaihi rajiuna
 
 
Mtoa Maoni: Semenya    Friday, February 05, 2010 04:17:32   
 
AAAHH!!! DADA WEEE AAAH!!! Mbona umeanza mapema?? hv huwezi kustahamili? angalia sasa aka!!! kumbe kashakufa ata sipo!!!

Kina dada jaribuni basi muwe na staha kidogo musiwe na haraka mambo mazuri hayataki haraka utakuja kutana na zuma afu iwe balaa maliza shule na koleji au chuo kikuu uwape sifa wazazi baadae uingie mjini. miaka 16 bado kabisa hapa nilipo nina miaka kadtha wa kadtha kama alivyo sema momso na bado nadai.

Sio hatua nzuri walochukua ma braza lkn ndo hivyo tena R.I.P

 
 
Mtoa Maoni: Mwanza boy    Friday, February 05, 2010 07:36:29   
 
sad!! very sad!
 
 
Mtoa Maoni: reginald    Friday, February 05, 2010 08:04:58   
 
Hizi ni hasira lakini zimepitiliza kiwango,Tukadirie adhabu jamani.
 
 
       Jumla kuna maoni (21), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za dunia
> 'Yesu Alikuwa ni Muathirika wa Ukimwi'
> PICHA - Mapenzi Yanaua..
> Siri ya Kimada Yafichuka
> Ajinyonga Baada ya Kunyimwa Mkopo
> VIDEO - Mwanaume Anayemchezea Simba Sharubu
> Miaka 9 Jela Kwa Kuendesha Gari Huku Akiangalia Ngono
> Kama Siku ya Kufa Haijafika...
> Mapenzi Yanapozidi....
> 'Osama Bin Laden ni Kibaraka wa Marekani' - Fidel Castro
> Madaktari Watupiana Makonde Chumba cha Uzazi
> Mgahawa wa Nyama za Binadamu Wafunguliwa Ujerumani
> Rais wa Zamani wa Madagascar Ahukumiwa Kifungo cha Maisha
> Hali Hii Isifike Bongo..
> Kitabu cha Katuni za Kumkashifu Mtume Kutolewa Mwezi Ujao
> Mwarabu Ampigilia Misumari 24 Hausigeli Wake
> Nyota wa Muziki Aliyewaambukiza Watu Ukimwi Anusurika Kwenda Jela
> Miaka 20 Jela Kwa Kumtikisa Mtoto Wake Mchanga
> Wazikwa Hai Hadi Disemba...
> VIDEO - Magari 46 Yagongana, Watu 72 Wajeruhiwa
> VIDEO - Foleni Bongo?
> Semenya Azua Tena Mjadala wa Jinsia Yake
> Msiba Juu ya Msiba
> VIDEO - Kichaa cha Mpishi Baada ya Kufukuzwa Kazi
> Iran Yazindua 'Balozi wa Kifo'
> Miaka 25 Jela Kwa Kuiba Chakula Kanisani

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Namabengo Computer Repairing Services Call: 0762-486583 0r 0712-409641
Habari Zilizosomwa Sana
1 'Yesu Alikuwa ni Muathirika w...
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Ashakum
Habari Mpya Mpya
> 'Yesu Alikuwa ni Muathirika wa Ukimwi'
> PICHA - Mapenzi Yanaua..
> Askofu Awaponda Wanaomtukana Kikwete
> Siri ya Kimada Yafichuka
> Ajinyonga Baada ya Kunyimwa Mkopo
> VIDEO - Mwanaume Anayemchezea Simba Sharubu
> Kampeni zachachamaa, wapinzani nao watoa ahadi
> JK aendelea kutoa ahadi
> Pingamizi la Chadema baada ya siku 5
> Urefu Wasababisha Aache Shule ya Msingi