Rosper International
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Mwanamke Anayetoa Machozi ya Damu Kila Anapolia


Rashida Khatoon
Sunday, April 19, 2009 4:12 AM
Mwanamke mmoja nchini India amejipatia umaarufu na kuwa gumzo nchi nzima kutokana na hali yake ya kutoa machozi ya damu kila anapolia.
Rashida Khatoon mkazi wa mji mmoja kaskazini mwa India, amewashangaza hata madaktari kwa hali yake hiyo ya kutiririka machozi ya damu kila anapolia.

Kwa siku mwanamke huyo humwaga chozi la damu mara kadhaa.

"Sisikii maumivu yoyote, badala ya machozi ya kawaida, damu zinapotitirika ni kitu cha kushangaza" alisema mwanamke huyo ambaye amekuwa gumzo sana nchini India.

Viongozi wa dini wa India wanadai kwamba mwanamke huyo ni miujiza toka mungu.

Kutokana na umaarufu mkubwa aliojizolea mamia ya watu wamekuwa wakimiminika nyumbani kwa mwanamke huyo kujishuhudia wenyewe kwa macho yao.

Wageni hao wamekuwa wakimmiminia mwanamke huyo na familia yake zawadi kadhaa kila wanapomtembelea nyumbani kwake.

 
Source: News Agencies    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: semenya    Thursday, September 10, 2009 14:43:21   
 
KULA ULAJI DADA MAANA HAO NDUGU ZAKO KILA WANACHOKIONA CHA AJABU BASI KWAO NI MUNGU
USISAHAU KULA MBOGA MBOGA TU KWANI NDIO BLOOD INAIPOTEZA

 
 
      
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
More life style news and articles
> Mtoto wa Miaka 9 Ajifungua Mtoto
> Mwanafunzi Aiuza Bikira Yake Kwa Dola 32,000
> Paka Anayedaiwa Kuwa na Uwezo wa Kunusa Kifo Kabla Hakijatokea
> Ana Miaka 13 Lakini Anaonekana Kama Bibi wa Miaka 50
> Uvaaji Wako wa Suruali Hudhihirisha Umri Wako
> Kibonge wa Dunia Apungua Kilo 127,Lakini Bado Anaongoza
> Kufanya Operesheni Ili Afanane na Supastaa wa Marekani
> Mtoto Aliyezaliwa Akiwa na Miguu Minne, Mikono Minne Aanza Shule
> Mwanaume Mwingine Apata Mimba, Kujifungua Mwezi Ujao
> Mume Mkware Ala Uroda na Mama Mkwe Wake
> VIDEO - Msichana wa India Anayevuja Damu Mara 50 Kwa Siku
> Mama Afanya Mapenzi Mara 200 na Mtoto wa Miaka 12
> Mchezaji Mweusi wa Marekani Abadili Rangi ya Ngozi Yake
> VIDEO - Tolu wa Dunia Alipokutana na Mtu Mfupi wa Dunia
> Makalio na Mapaja Makubwa ni Bora Kwa Afya
> Ana Mimba ya Miezi Mitano Lakini Bado Bikira
> Kwanini Watu Wengine Hata Wale Vipi Hawanenepi? Jibu la Kisayansi
> VIDEO - Mtoto wa Miaka 7 Mwenye Albamu Tatu za Muziki
> Miujiza ya Kijana Aliyefariki Yawapagawisha Wengi
> Mtoto wa Miaka 12 Amzalisha Mama Yake
> Ajali Yasababisha Awe na Hamu ya Mapenzi Wakati Wote
> Mtoto wa Mwaka Mmoja Mwenye Uwezo Mkubwa wa Kuogelea
> Mtoto wa Miaka 6 Mwenye Uwezo wa Kuvuta Magari
> Mama Mdogo Kuliko Wote Duniani Ajifungua Mtoto wa Tatu
> Familia Inayoongea na Watu Waliofariki

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
1 Maadili yazidi kuporomoka Tan...
2 Meseji yazua utata kwa wanand...
3 Mtoto wa Miaka 9 Ajifungua Mt...
4 Uingereza Kuzibania Viza Za W...
5 Skendo la Ununuzi wa Rada ya ...
6 Autoa Sadaka Ulimi Wake Ili A...
7 VIDEO - Drogba Aizamisha Arse...
8 Vitambulisho vya Taifa vitaan...
Photo Gallery
Photo Album

 Vituko vya Mapolisi Part 2
Random Photo

 Vijimambo vya Mr T
Habari Mpya Mpya
> Vitambulisho vya Taifa vitaanza kutolewa mwishoni mwa mwaka
> Maadili yazidi kuporomoka Tanzania
> Meseji yazua utata kwa wanandoa
> Skendo la Ununuzi wa Rada ya Tanzania, BAE Yapigwa Faini Dola Milioni 450
> Uingereza Kuzibania Viza Za Wanafunzi
> VIDEO - Drogba Aizamisha Arsenal
> Mtoto wa Miaka 9 Ajifungua Mtoto
> Autoa Sadaka Ulimi Wake Ili Apate Mtoto
> Simba Na Yanga Zaenda Likizo Ligi Kuu
> Siku ya Wapendanao Patakuwa Hapatoshi Kwenye Mgahawa Huu